Je wajua: Mbunge Jumanne Kishimba ndiye mmiliki wa Dar Free Market na Imalaseko Supermarket

Kishimba ndio mtu wa kwanza Tanzania kuleta teknolojia ya kuozesha marudio, wakapiga sana pesa na kupumzika mambo ya dhahabu, ashakua mnunuzi wa pamba kanda ya ziwa karibu yote, baada ya pesa kua nyingi ndio huyo toka zamani kajiwekeza kwenye Real Estate, nadhani pale bungeni hakuna anaemshinda majumba kama sijakosea, kila jiji anamajumba mengi, miji ya kibiashara yote utamkuta yupo,
 
Kwani Kuna aliye wah kuwa mbunge na Hana hela
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Juzi nimefuatwa na wazee fulani...wakanitania kuwa 2025 nichukue "fomu" nimpe changamoto kaka Silaa....nikawajibu....pesa sina ya mchakato....ningekuwa nazo....ningekabiliana na kamarada Jerry ndani ya chama [emoji1787][emoji1787]

#MamaAnaupigaMwingi[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
[emoji2956]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kamarada mbobevu mh.Jumanne Kishimba [emoji109][emoji106][emoji123][emoji7][emoji2956]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Pesa hazitoshi
 
Kusoma sio kumiliki mali kutosoma sio kigezo cha kuwa masikini
 
sijakataa kuhongwa ila kusema kahongwa V8 hiyo hapana aise , labda kama kahongwa pesa ndefu zaidi
Ni sawa na mtu anaemiliki milion 100 alafu useme unamuhonga tsh elf 40
huwezi mshawishi kwa kiwango hicho cha pesa
Kwa hiyo akihongwa V8 yenye thamani ya milioni 500 atakataa?? Kwanza huko kwenye siasa wanaingia, tena kwa kutumia pesa nyingi ili wapate favor na kukwepa kodi. Magufuli aliwahi kumzodoa Mbunge mmoja tajiri hapo Morogoro kwa kukwapua viwanda vya serikali na kushindwa kuviendeleza...
 
Hawa watu

🎵Kishimba

🎵 Kibajaji

🎵Musukuma

🎵Tabasamu

🎵 Babu tale

Wakiendelea kushangiliwa na mada zao za kuona elimu sii kitu au wasomi sio kitu kwa sababu ya mafanikio Yao ya kibiashara, tutatengeneza Taifa la hovyo. Mbaya zaidi wao ndio Kila siku wapo bungeni wanachangia hata zile mada za kitaalamu. Hawana watu wa kuwakosoa
 
Uzi ufungwe, umemaliza
Miaka hiyo huyo mzee anazitambua usd Dollar kwa kushika tuu bila kuangalia leo hii useme amepata hela kwa kuingia Bungeni sio kweli..pana watu wamepambana sana mkiambiwa mafanikio yao mwishoni mnazusha chochote fikiria mimi nimemjua Harare 4 evenue miaka hiyo namuona kuwa ni Tajiri na hana kelele unaweza kudhani mchimba chumvi tuu...
 
Wewe ulidhani ni mali za mamako! Pimbi wewe
 
Sasa mafanikio unayapima kwa kutumia nini kama sio vitu vinavyoonekana? Ulitaka aseme alifanya Biashara miaka mingi au
 
Ni kweli kabisa, huyo mzee wa kitambo sana na Imalaseko si ya leo. Miaka ya 80 alikuwa miongoni mwa waingizaji wakubwa wa bidhaa toka Kenya akitumia ile mitumbwi mikubwa sana (Makarua). Miaka hiyo Mwanza viwanda ni kama hamna. Iliwalipa sana na kodi walikwepa sana
 
Alikwapua yeye ndio alimuuzia akiwa ujenzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…