Morning Joy Motors
Member
- Jan 20, 2026
- 84
- 137
Namna ya kufahamu Oil filter ya Gari yako
Oil filters inapaswa kuwa replaced kila baada ya 6,000–8,000 km (ambapo kwa wengi ni 12 months), typically kila unapofanya oil change.
Viashiria muhimu vinavyo ashiria oil filter yako kuwa mbovu :
Engine KUkosa Nguvu Stahiki : Hii ni hali ambayo unaweza kuihisi gari yako kukosa nguvu au kushindwa ku - accelerate vizuri sababu ya restricted oil flow.
Engine Kuchemsha : Hii ni hali inayosababisha na kukosekana na lubrication ya kutosha kupelekea wingi friction heat na joto kupanda.
Warning Lights: Taa ya check engine au ya oil pressure kuwaka kwenye dashboard yako.
Engine Noise: Pale inapotokea unaskia sauti / kelele za grinding (vitu kama vinasagika ) inaweza kuashiria kwamba gari yako haina lubrication ambapo chanzo kikawa ni filter mbovu
Moshi mwingi kwenye Exhaust : Ukiona Moshi Dark, black, au excessive smoke basi tambua kwamba shida inakua asilimia kubwa kwenye filter.
Note ;
Kwa wale ambao mnatumia barabara zenye foleni kali ( stop-and-go) na na kuishi maeneo ambayo yananjia mbovu sana , mnashauriwa kuwa makini na kukagua oil filter zenu mara kwa mara.
kwa elimu na ushauri zaidi Karibu @morning_joy_motors , unaweza kututumia number yako na tukuunge kwenye group letu la elimu bure kabisa ama kututumia ujumbe kwenye whatsapp number yetu.
KUHUSU SISI ;
Tunajihusisha na elimu kuhusiana na magari aina zote , uuzaji na uagizaji pia wa aina zote za magari
Kwa kulipia chini ya asilimia 100% baada ya gari lako kufika
( hauna haja ya kulipa kabla gari haijafika )
TUPO ARUSHA KALOLENI
KWENYE JENGO LA CONDO HOTEL
LILILOPO MKABALA NA SHALOM CHURCH
OFFICE NUMBER 016 GROUND FLOOR
: +255797113153

- Pressure ndogo ya oil
- Engine kukosa nguvu stahiki
- Kuhisi kelele za vyuma
- Kuchemsha au dark smoke