Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Yap hapa sawa ingawaje mimi naenda na 4000km kwa Ford na Hilux..Gari za nyumbani 5000Km tu inatosha unabadilisha Oil na filter yake
Kwenye gari ubakhili uwe mbali mna ghafla engine inanock ukanunue nyengine