Morning Joy Motors
Member
- Jan 20, 2026
- 84
- 137
Darasa huru 👊Namna ya kufahamu Oil filter ya Gari yako
Oil filters inapaswa kuwa replaced kila baada ya 6,000–8,000 km (ambapo kwa wengi ni 12 months), typically kila unapofanya oil change.
Viashiria muhimu vinavyo ashiria oil filter yako kuwa mbovu :
Pressure ndogo ya oil Engine kukosa nguvu stahiki Kuhisi kelele za vyuma Kuchemsha au dark smoke
Engine KUkosa Nguvu Stahiki : Hii ni hali ambayo unaweza kuihisi gari yako kukosa nguvu au kushindwa ku - accelerate vizuri sababu ya restricted oil flow.
Engine Kuchemsha : Hii ni hali inayosababisha na kukosekana na lubrication ya kutosha kupelekea wingi friction heat na joto kupanda.
Warning Lights: Taa ya check engine au ya oil pressure kuwaka kwenye dashboard yako.
Engine Noise: Pale inapotokea unaskia sauti / kelele za grinding (vitu kama vinasagika ) inaweza kuashiria kwamba gari yako haina lubrication ambapo chanzo kikawa ni filter mbovu
Moshi mwingi kwenye Exhaust : Ukiona Moshi Dark, black, au excessive smoke basi tambua kwamba shida inakua asilimia kubwa kwenye filter.
Note ;
Kwa wale ambao mnatumia barabara zenye foleni kali ( stop-and-go) na na kuishi maeneo ambayo yananjia mbovu sana , mnashauriwa kuwa makini na kukagua oil filter zenu mara kwa mara.
kwa elimu na ushauri zaidi Karibu @morning_joy_motors , unaweza kututumia number yako na tukuunge kwenye group letu la elimu bure kabisa ama kututumia ujumbe kwenye whatsapp number yetu.
KUHUSU SISI ;
Tunajihusisha na elimu kuhusiana na magari aina zote , uuzaji na uagizaji pia wa aina zote za magari
Kwa kulipia chini ya asilimia 100% baada ya gari lako kufika
( hauna haja ya kulipa kabla gari haijafika )
TUPO ARUSHA KALOLENI
KWENYE JENGO LA CONDO HOTEL
LILILOPO MKABALA NA SHALOM CHURCH
OFFICE NUMBER 016 GROUND FLOOR
: +255797113153
Naomba kuuliza
Nissan xtrail new model nikiwa kwenye speed ya chini ya 40 inakua inafanya kama kukohoa hivi tatizo nini?
Nb: plug tushabadilisha
Diagnosis haioneshi tatizo yani sijui tatizo nini mpaka sasa
Habari Akhi Pole kwa changamoto uliyokumbana nayo kimsingi hiyo ni common complaint kati ya matatizo mengi ya wanayokumbana nayo watumiaji wa Nissan Xtrail, yaani wewe sio wa kwanza.Naomba kuuliza
Nissan xtrail new model nikiwa kwenye speed ya chini ya 40 inakua inafanya kama kukohoa hivi tatizo nini?
Nb: plug tushabadilisha
Diagnosis haioneshi tatizo yani sijui tatizo nini mpaka sasa
Karibu sana brother tujifunze pamojaDarasa huru 👊
Hongera ndugu kwa ufafanuzi mzuriHabari Akhi Pole kwa changamoto uliyokumbana nayo kimsingi hiyo ni common complaint kati ya matatizo mengi ya wanayokumbana nayo watumiaji wa Nissan Xtrail, yaani wewe sio wa kwanza.
Na mara nyingi ni tatizo ambalo liko related na
mfumo wa Continuously Variable Transmission (CVT)
fuel delivery
Sensors kushindwa ku - maintain kiwango sahihi cha fuel-air mixture.
Labda tufafanue kwa uchache
1. Transmission (CVT) Issues Ambayo ndiyo uwezekano mkubwa wa tatizo la gari yako
2. Matatizo ya kimfumo wa Engine ama Air/Fuel
- Failed au fluid yake uwa chafu: Transmission za CVT huwa zinafanya kazi vizuri kwa kutegemea sana fluid yake ni safi kiasi gani ili iweze kuji- function vizuri. Ikiwa fluid ( oil ) yake ni ya muda mrefu au imepungua sana, inaweza kupelekea ku experience hali hiyo unayoisikia kwa sasa.
- Valve zatransmission Body/Slipping Belt: Kuna metal belt fulani ndani ya CVT kuna uwezekano mkubwa ikawa ina slip, au valve body inaweza kuwa mbovu, hivyo kupelekea wewe kusikia hicho ambacho unakisikia
- Throttle Body Chafu/MAF Sensor: ikiwa Mass Air Flow (MAF) sensor ni chafu ama kujaa vumbi inaweza kusababisha engine ya gari yako kupokea kiwango cha mafuta ambacho sio sahihi , sasa matokeo yake ndio hayo unakuta unahisi gari inakufanyia hivyo.
- Fuel Filter Mbovu/Fuel Pump dhaifu: kama engine haipati kiwango cha mafuta ya kutosha lazima , it will hesitate au kukohoa kama unavyoisikia sasa
Sasa kwasababu unasema mlishabadilisha plus, je coil mlibadilisha ama kuzikagua?
Pia ni tatizo ambalo umekua nalo kwa muda gani, aidha hiyo gari umetumia kwa muda gani
Na umeshakagua kabla ambayo tumekuorodheshea hapo juu?
Kubadiriaha plugs sio shida, shida ni plugs ni recommended kwa hyo engene?Naomba kuuliza
Nissan xtrail new model nikiwa kwenye speed ya chini ya 40 inakua inafanya kama kukohoa hivi tatizo nini?
Nb: plug tushabadilisha
Diagnosis haioneshi tatizo yani sijui tatizo nini mpaka sasa
Hii imewatesa sana watu wa dual, nissan sio unafunga plugs yeyote tu ile , kuna muda unaweza ujahis ni gear box imekufa kumbe shida ni plugs sio za hyo engeneNaomba kuuliza
Nissan xtrail new model nikiwa kwenye speed ya chini ya 40 inakua inafanya kama kukohoa hivi tatizo nini?
Nb: plug tushabadilisha
Diagnosis haioneshi tatizo yani sijui tatizo nini mpaka sasa
Plug ndo zenyewe hatufanyi vitu kwa kubahatisha ile nissan ukiweka plug siyo ata kuwaka haiwaki na hapo plug moja ni elfu 60 na plug zipo nneHii imewatesa sana watu wa dual, nissan sio unafunga plugs yeyote tu ile , kuna muda unaweza ujahis ni gear box imekufa kumbe shida ni plugs sio za hyo engene
Ahsante sana, je umewezaa kukagua kama ambavyo tumekuelezea hapo juu kaka? Pia ni mpya brand new au mpya used from japan.?Hongera ndugu kwa ufafanuzi mzuri
Coil ni nzima zilikaguliwa
Gari ni mpya ndo kwanza ina mwaka
Kama upo DAR nenda kawaone MOTEC-I hawa jamaa hakuna WA kuwafananisha Kwa hapa DAR.Naomba kuuliza
Nissan xtrail new model nikiwa kwenye speed ya chini ya 40 inakua inafanya kama kukohoa hivi tatizo nini?
Nb: plug tushabadilisha
Diagnosis haioneshi tatizo yani sijui tatizo nini mpaka sasa
Mtoa mada upo Sahihi kwenye mada yako ila ishu Kwa hapa Tanzania oil filter nyingi ni fake kama Toyota ndiyo kuna kila Aina ya oil filter za uongo.Namna ya kufahamu Oil filter ya Gari yako
Oil filters inapaswa kuwa replaced kila baada ya 6,000–8,000 km (ambapo kwa wengi ni 12 months), typically kila unapofanya oil change.
Viashiria muhimu vinavyo ashiria oil filter yako kuwa mbovu :
Pressure ndogo ya oil Engine kukosa nguvu stahiki Kuhisi kelele za vyuma Kuchemsha au dark smoke
Engine KUkosa Nguvu Stahiki : Hii ni hali ambayo unaweza kuihisi gari yako kukosa nguvu au kushindwa ku - accelerate vizuri sababu ya restricted oil flow.
Engine Kuchemsha : Hii ni hali inayosababisha na kukosekana na lubrication ya kutosha kupelekea wingi friction heat na joto kupanda.
Warning Lights: Taa ya check engine au ya oil pressure kuwaka kwenye dashboard yako.
Engine Noise: Pale inapotokea unaskia sauti / kelele za grinding (vitu kama vinasagika ) inaweza kuashiria kwamba gari yako haina lubrication ambapo chanzo kikawa ni filter mbovu
Moshi mwingi kwenye Exhaust : Ukiona Moshi Dark, black, au excessive smoke basi tambua kwamba shida inakua asilimia kubwa kwenye filter.
Note ;
Kwa wale ambao mnatumia barabara zenye foleni kali ( stop-and-go) na na kuishi maeneo ambayo yananjia mbovu sana , mnashauriwa kuwa makini na kukagua oil filter zenu mara kwa mara.
kwa elimu na ushauri zaidi Karibu @morning_joy_motors , unaweza kututumia number yako na tukuunge kwenye group letu la elimu bure kabisa ama kututumia ujumbe kwenye whatsapp number yetu.
KUHUSU SISI ;
Tunajihusisha na elimu kuhusiana na magari aina zote , uuzaji na uagizaji pia wa aina zote za magari
Kwa kulipia chini ya asilimia 100% baada ya gari lako kufika
( hauna haja ya kulipa kabla gari haijafika )
TUPO ARUSHA KALOLENI
KWENYE JENGO LA CONDO HOTEL
LILILOPO MKABALA NA SHALOM CHURCH
OFFICE NUMBER 016 GROUND FLOOR
: +255797113153
Not yet nipo zenjiKama upo DAR nenda kawaone MOTEC-I hawa jamaa hakuna WA kuwafananisha Kwa hapa DAR.
Swali langu ni hili...Je baada ya kubadilisha plug gari ilitulia ?
Oil filter kila ukibadilisha oil lazima ubadilisheOil filter mnashauriana kuibadili kwa muda wa mwaka mmoja na oil zenyewe hizi sidhani kama ni sahihi..
Sasa sio mwaka mmoja kaka nadhani shauri kwa kipindi kifupi kidogo kama mtu anataka adumu na gari lake..mimi natumia Castrol ya SA na nanunua mwenyewe SA ila siwezi kutumia mpaka mwaka mzima sijabadili oil ntaona gari ipo tofauti kabisa wao wanaposema km nyingi napunguza kidogo ili niende sawa na mazingira yangu na mashine naona zinakua sawa kwa muda mrefu..Oil filter kila ukibadilisha oil lazima ubadilishe
Oil za tabata hizi ndugu
Gari za nyumbani 5000Km tu inatosha unabadilisha Oil na filter yakeSasa sio mwaka mmoja kaka nadhani shauri kwa kipindi kifupi kidogo kama mtu anataka adumu na gari lake..mimi natumia Castrol ya SA na nanunua mwenyewe SA ila siwezi kutumia mpaka mwaka mzima sijabadili oil ntaona gari ipo tofauti kabisa wao wanaposema km nyingi napunguza kidogo ili niende sawa na mazingira yangu na mashine naona zinakua sawa kwa muda mrefu..