Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 22,981 Reaction score 47,826 Feb 21, 2026 #21 Akhi said: Gari za nyumbani 5000Km tu inatosha unabadilisha Oil na filter yake Kwenye gari ubakhili uwe mbali mna ghafla engine inanock ukanunue nyengine Click to expand... Yap hapa sawa ingawaje mimi naenda na 4000km kwa Ford na Hilux..
Akhi said: Gari za nyumbani 5000Km tu inatosha unabadilisha Oil na filter yake Kwenye gari ubakhili uwe mbali mna ghafla engine inanock ukanunue nyengine Click to expand... Yap hapa sawa ingawaje mimi naenda na 4000km kwa Ford na Hilux..
Morning Joy Motors Member Joined Jan 20, 2026 Posts 84 Reaction score 137 Feb 21, 2026 Thread starter #22 Akhi said: Oil filter kila ukibadilisha oil lazima ubadilishe Oil za tabata hizi ndugu Click to expand... Mzee , Kwa bahati nzuri ni kwamba ; sisi hatuongelei oil hizo za Tabata , bali tunashauri kulingana na miongozo ambayo waliotengeneza wenyewe wanaitoa Aidha Hatuongelei hizo xa Tabata bali tunaongelea oil genuinely na sio hizo za kuunga unga Ahsante
Akhi said: Oil filter kila ukibadilisha oil lazima ubadilishe Oil za tabata hizi ndugu Click to expand... Mzee , Kwa bahati nzuri ni kwamba ; sisi hatuongelei oil hizo za Tabata , bali tunashauri kulingana na miongozo ambayo waliotengeneza wenyewe wanaitoa Aidha Hatuongelei hizo xa Tabata bali tunaongelea oil genuinely na sio hizo za kuunga unga Ahsante