BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Bunge la Tanzania baada ya miaka 60 plus unakuta mjadala unahusu choo cha zahanati, kwamba real watu wanakutana Dodoma kujadili Choo cha zahanati fulani.
Unakuta wanajadili Madaraja na Makaravati, wanajadili matundu ya vyoo vya shule.
Na raia walivyo wajinga ndio vitu wanapenda kusikia, yaani kwa sababu Raia ni Mazezeta wanapenda kusikia mada za matundu ya vyoo yakijadiliwa na Mbunge wao.
Fuatilia hata Bunge la Burundi huwezi kuta mijadala ya kijinga Bungeni, wale wanajadili Sera za nchi na sio vitu. Bunge la Tanzania mijadala ni ya vitu na sio Sera.
Sasa unadhania tutakuja wafikia levo za Kenya za kumuondoa Naibu wa Rais? kama vitu tu vinavyo jadiliwa Bungeni ni vya kijinga jinga tupu.
Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Bunge zao ni mambo ya sera na huo ndio mfumo wa Mabunge mengi Duniani ukitoa Tanzania.