M Mangi Muitori JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 638 Reaction score 411 Oct 18, 2024 #21 Mbona wewe ukikutana na jamaa zako ni kujadili ngono tu na mpira? Kwanini msiige wenzenu wa nchi nyingine wanajadili mambo ya kitaifa na kimataifa
Mbona wewe ukikutana na jamaa zako ni kujadili ngono tu na mpira? Kwanini msiige wenzenu wa nchi nyingine wanajadili mambo ya kitaifa na kimataifa