Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Kiranja mkuu analijua hili?Macho yanauma kijiribu kuyafumba nakuingalia hyo rangi Eigengrau, hili nalo walikuwalijua au mimi ndio nimevumbua
Hakuna aliyefungua huu uzi halafu asijaribu kufumba macho
Rangi ya damu ya mzee.Na ile rangi unayoiona ukifumba macho kama umelitizama jua inaitwaje?
ko hiyo rangi tuipe jina kwa kitanzania?Inawezekana tusiwe na jina la Kiswahili kwa rangi ambayo mtu huiona anapofumba macho, lakini rangi inayoonekana sio nyeusi
Katika Lugha ya Kiingereza rangi unayoiona ukifumba macho inaitwa Eigengrau sio ‘Black’ kwa maana ya nyeusi