Je, wajua rangi unayoiona unapofumba macho si nyeusi?

Je, wajua rangi unayoiona unapofumba macho si nyeusi?

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Inawezekana tusiwe na jina la Kiswahili kwa rangi ambayo mtu huiona anapofumba macho, lakini rangi inayoonekana sio nyeusi

Katika Lugha ya Kiingereza rangi unayoiona ukifumba macho inaitwa Eigengrau sio ‘Black’ kwa maana ya nyeusi

1611852559882.png
 
Alafu ukifumba macho alafu Ukibonyeza jicho kwa pembeni kuna mwanga unauona, nilisoma mahali ila siikumbuki jina lake kwa Kingereza
 
Back
Top Bottom