Je, wajua Robo Fainali ya CAFCL timu zote ni mabingwa kasoro Simba?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
LIGI YA MABINGWA HII kolo IMEFUATA NINI HUKU?? [emoji23][emoji23][emoji23]

Kwa utafiti wangu nimegundua kuwa ndio maana Simba ni underdog kwenye hii michuano kwasababu alipita Kwa kamseleleko Baada ya kubebwa na Yanga

1: MAMELODI SUNDOWNS- Bingwa South Africa

2: YANGA - Bingwa Tanzania

3: ASEC MIMOSAS- Bingwa Ivory Coast

4: AL AHLY- Bingwa Egypt

5: ESPERANCE TUNIS- Bingwa Tunisia

6: TP MAZEMBE - Bingwa Congo Dr

7😛ETRO DE LUANDA- Bingwa Angola

SIMBA- huyu hajulikani ndio maana kachezea kidude, huwezi kucheza na mashindano ya mabingwa wa nchi katika hatua kubwa kama hii na ukabaki salama
 
Simba Wana kombe lao la ushirikina ndio maana wapo hapo.
Katika hali ya kawaida haikutakiwa kufika makundi lakini haipo apo kwa bahati mbaya.
Kwenye ushirikina wapo vizuri Sana.
Ngoja tuone kama watatoboa pale Egypt
 
LIGI YA MABINGWA HII kolo IMEFUATA NINI HUKU?? [emoji23][emoji23][emoji23]

Kwa utafiti wangu nimegundua kuwa ndio maana Simba ni underdog kwenye hii michuano kwasababu alipita Kwa kamseleleko Baada ya kubebwa na Yanga

1: MAMELODI SUNDOWNS- Bingwa South Africa

2: YANGA - Bingwa Tanzania

3: ASEC MIMOSAS- Bingwa Ivory Coast

4: AL AHLY- Bingwa Egypt

5: ESPERANCE TUNIS- Bingwa Tunisia

6: TP MAZEMBE - Bingwa Congo Dr

7😛ETRO DE LUANDA- Bingwa Angola

SIMBA- huyu hajulikani ndio maana kachezea kidude, huwezi kucheza na mashindano ya mabingwa wa nchi katika hatua kubwa kama hii na ukabaki salama
Kwa hiyo unataka kusema Simba anashiriki hayo mashindano kupitia viti maalum!!
 
LIGI YA MABINGWA HII kolo IMEFUATA NINI HUKU?? [emoji23][emoji23][emoji23]

Kwa utafiti wangu nimegundua kuwa ndio maana Simba ni underdog kwenye hii michuano kwasababu alipita Kwa kamseleleko Baada ya kubebwa na Yanga

1: MAMELODI SUNDOWNS- Bingwa South Africa

2: YANGA - Bingwa Tanzania

3: ASEC MIMOSAS- Bingwa Ivory Coast

4: AL AHLY- Bingwa Egypt

5: ESPERANCE TUNIS- Bingwa Tunisia

6: TP MAZEMBE - Bingwa Congo Dr

7😛ETRO DE LUANDA- Bingwa Angola

SIMBA- huyu hajulikani ndio maana kachezea kidude, huwezi kucheza na mashindano ya mabingwa wa nchi katika hatua kubwa kama hii na ukabaki salama
Mkuu Labani og Salam kwako.
Mimi sio mtabiri wala sitaki hiyo fani LABDA Mungu anifanye nabii wake hata hivyo kuna wazo limenijia kama ifuatavyo-
1. Mojawapo timu zilizocheza ijumaa au jumamosi ata/zitaingia Fainali
2. Ikiwa mtindo wa mechi za fainali( CAF champion Ligue) zitakuwa za kucheza nyumbani na ugenini basi Mojwapo ya hizo mechi Itachezwa katika uwanja wa Benjamini Mkapa

Note
Kama hilo litatokea naomba nisipigwe mawe au kupewa sifa nisizo stahili (Zisizo zangu).
Nawasilisha
 
Usichokijua simba alitafutia nchi nafasi mbili na ajawahi na atawahi kubebwa na yanga hata yanga achukue kombe mara 10 ,mnyama katengeneza nafasi kwa ajili ya Taifa.Azam akiwa wa pili atafurahia matunda ya mnyama.
 
MUNGU ajalie mkuu
 
Ilikuwa zamani mkuu
 
LIGI YA MABINGWA HII kolo IMEFUATA NINI HUKU?? [emoji23][emoji23][emoji23]

Kwa utafiti wangu nimegundua kuwa ndio maana Simba ni underdog kwenye hii michuano kwasababu alipita Kwa kamseleleko Baada ya kubebwa na Yanga

1: MAMELODI SUNDOWNS- Bingwa South Africa

2: YANGA - Bingwa Tanzania

3: ASEC MIMOSAS- Bingwa Ivory Coast

4: AL AHLY- Bingwa Egypt

5: ESPERANCE TUNIS- Bingwa Tunisia

6: TP MAZEMBE - Bingwa Congo Dr

7😛ETRO DE LUANDA- Bingwa Angola

SIMBA- huyu hajulikani ndio maana kachezea kidude, huwezi kucheza na mashindano ya mabingwa wa nchi katika hatua kubwa kama hii na ukabaki salama
HAHAHAAA WATAKULOGA MPWAAA NGOJA TUWASIKIE
 
Back
Top Bottom