Je, wajua Robo Fainali ya CAFCL timu zote ni mabingwa kasoro Simba?

Je, wajua Robo Fainali ya CAFCL timu zote ni mabingwa kasoro Simba?

Usichokijua simba alitafutia nchi nafasi mbili na ajawahi na atawahi kubebwa na yanga hata yanga achukue kombe mara 10 ,mnyama katengeneza nafasi kwa ajili ya Taifa.Azam akiwa wa pili atafurahia matunda ya mnyama.
Comrade, mbona maneno mengi? Je, simba ni bingwa wa nchi gani? Hapa zimetajwa timu saba zilizofuzu kwenye hii hatua, na ambazo pia ni mabingwa kwenye nchi zao!

Ni Simba pekee ndiyo timu ambayo siyo bingwa! Na ndiyo timu pekee iliyofungwa kwenye mchezo wake wa awai!
 
Simba Wana kombe lao la ushirikina ndio maana wapo hapo.
Katika hali ya kawaida haikutakiwa kufika makundi lakini haipo apo kwa bahati mbaya.
Kwenye ushirikina wapo vizuri Sana.
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
 
Nyie bure FC sasa wakati tunaingia robo fainali zote Simba ilikua nini? Yani mnatapa tapa mpaka huruma..kweli masikini akipata matako hulia mbwata mbwata mbwata...kwahyo ni ajabu kwenu..
 
Back
Top Bottom