Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Comrade, mbona maneno mengi? Je, simba ni bingwa wa nchi gani? Hapa zimetajwa timu saba zilizofuzu kwenye hii hatua, na ambazo pia ni mabingwa kwenye nchi zao!Usichokijua simba alitafutia nchi nafasi mbili na ajawahi na atawahi kubebwa na yanga hata yanga achukue kombe mara 10 ,mnyama katengeneza nafasi kwa ajili ya Taifa.Azam akiwa wa pili atafurahia matunda ya mnyama.
Ni kama tu ilivyokuwa kwa Yanga kabla ya mchezo wake dhidi ya Mamelodi, mambo yalikuwa ni hivi hivi. Kwa hiyo na nyinyi mvumilie tu maumivu.Ipumzisheni basi Simba fanyeni mambo mengine duuh kila uzi Simba Simba
Hata Ndumbaro ni professor, na wewe jipachike tu uprofessor tope uendelee kuchambua tope, hiyo ni kazi yako 🐸🐸Kwa madini ya soka nilionayo kichwani....bora nipewe hata u professor
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.Simba Wana kombe lao la ushirikina ndio maana wapo hapo.
Katika hali ya kawaida haikutakiwa kufika makundi lakini haipo apo kwa bahati mbaya.
Kwenye ushirikina wapo vizuri Sana.
Yanga alishawahi kushiriki kwa viti maalum?Yaah mkuu....ni kama wabunge wa viti maalumu
Ni zaidi ya kenge ndio maana kapewa kichapoKwamba makolo ndio kenge
Utopolo hawana uwezo wa kujaza taifa mashabiki wao ni mashabiki njaaJe wajuwa kwamba timu zote zilizoshiriki robo fainali CAF mechi zao mashabiki walilipa viingilia kasoro NYUMA MWIKO FC peke ndy waliyoingia uwanjani fungulia mbwa?