Je wajua Sare ya 0-0 Kati ya Madrid na Psg , Madrid anaaga mashindano??

Status
Not open for further replies.

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Leo inaweza kuwa siku ya mwisho ya matumaini ya Zidane ndani ya Madrid
Siyo Zidane Tu Bali Ronaldo ataangalia mstakabari wa maisha yake uko kwingineko ama marekani au kukipiga uarabuni

Leo Psg watakuwa na uoga wa kuwakabili Madrid watacheza Kwa ujanja mwingi uku Madrid wakifunguka kutafta magori maana wakimakiza Sare ya bila kufungana Madrid anaondoka, au wakimaliza moja moja ni matuta , yaan Madrid ni lazima ashinde, Kwa Hari na mali, akikubali Sare ya Moja Kwa moja anaingia matuta, na Madrid matuta so wazuri sana,

Au wakimaliza 0-0 PSG anapeta


Hahaha hahaha watu wametoa povuuu aisee

Natania nilitaka kujua wangapi wanafura ,Ila madrid akipigwa 2-0 anaondoka,

Barcelona akitokea 0-0 na chelsea , Barca anapeta,

Ndo hayo
 
Aggregate itakuwa ni points 4-1
ataagaje mashindano?
lile goli la ugenini halihesabiki kama hujashinda au kudroo kwa magoli
 
hahaha hata ingekuwa hivyo ulivyo sema majibu ni kwamba

wakati psg anatafuta sare ya 0-0 atalazimika kulinda sanaa na hapo mashambulizii yatakuwa moto kutoka kwa madarid
tegemea lolote katika haya

goal directly from a free kick
penalty

na huo ndio utakua mwisho wa psg.

majibu haya ni kwa maelezo yako ya kusema kuwa ikitokea psg wanatafuta sare ya 0-0
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…