Je wajua Sare ya 0-0 Kati ya Madrid na Psg , Madrid anaaga mashindano??

Status
Not open for further replies.
Inakera sana mtu hujui mpira then ajifanya kuuchambua
 
ama kweli usilolijua ni kama usiku wa giza..

sio kila kitu ni cha kupost labda kama umekosea heading hapo sawa..

au umeamua kufurahisha watu hapa jukwaani..

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] au ni Madrid na Psg za Tandale unaongelea.
 
Amka mkuu kumekucha muda mrefu Sana. MAANA NAKUONA UNAOTA LIVE!
 
Kuna watu wameifanya Jamiiforums imekuwa ya kishamba sana siku hizi.
 
Acha kukurupuka wewe unaijua aggregate?
 
Wee jamaa mpira unaujua kweli? Kweli wewe ni mshabiki wa mieleka
 
Bangi za asubuhi mbaya sana aise
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…