Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inakera sana mtu hujui mpira then ajifanya kuuchambuaLeo inaweza kuwa siku ya mwisho ya matumaini ya Zidane ndani ya Madrid
Siyo Zidane Tu Bali Ronaldo ataangalia mstakabari wa maisha yake uko kwingineko ama marekani au kukipiga uarabuni
Leo Psg watakuwa na uoga wa kuwakabili Madrid watacheza Kwa ujanja mwingi uku Madrid wakifunguka kutafta magori maana wakimakiza Sare ya bila kufungana Madrid anaondoka, au wakimaliza moja moja ni matuta , yaan Madrid ni lazima ashinde, Kwa Hari na mali, akikubali Sare ya Moja Kwa moja anaingia matuta, na Madrid matuta so wazuri sana,
Au wakimaliza 0-0 PSG anapeta
Jamaa kanifurahisha sana....NEC ya Kailima mwizi mwanzo mwisho! Sheria baadaye!Mkuu we bakia kwenye siasa Mpira tuachie tu wenyewe, Hakuna matokeo ya namna hyo unless NEC wahusike
Acha kukurupuka wewe unaijua aggregate?Leo inaweza kuwa siku ya mwisho ya matumaini ya Zidane ndani ya Madrid
Siyo Zidane Tu Bali Ronaldo ataangalia mstakabari wa maisha yake uko kwingineko ama marekani au kukipiga uarabuni
Leo Psg watakuwa na uoga wa kuwakabili Madrid watacheza Kwa ujanja mwingi uku Madrid wakifunguka kutafta magori maana wakimakiza Sare ya bila kufungana Madrid anaondoka, au wakimaliza moja moja ni matuta , yaan Madrid ni lazima ashinde, Kwa Hari na mali, akikubali Sare ya Moja Kwa moja anaingia matuta, na Madrid matuta so wazuri sana,
Au wakimaliza 0-0 PSG anapeta
Kwa NEC mbona leo Madrid anakufa anajiona Ronaldo Redcard first halfJamaa kanifurahisha sana....NEC ya Kailima mwizi mwanzo mwisho! Sheria baadaye!
Si nzuri kabisaMkuu leo naona umeamka na hangover........
Pombe za warusi si nzuri....