Je wajua Sare ya 0-0 Kati ya Madrid na Psg , Madrid anaaga mashindano??

Status
Not open for further replies.
Tokea uanze kushabikia ccm umekua na akili mfu...
 
Si bure ulibeti jana man u wanafungwa ndo mana wengi wenu mmeamka na stress leo
 
ANASHINDA

MADRID 2-0

HUAMINI WEKA MKEO STAKE NTAMRUDISHA
 
You are wrong!!!!! Madrid tayari ana agg ya 3-1 sasa iweje wakidroo atoke?? Labda kama wangetoka sare ya 1-1 au 2-2 au sare yoyote ile ya magoli Santiago hapo ungesema sare ya 0-0 Paris,Madrid angetoka kwakuwa Psg angekuwa na adv ya goli/magoli ya ugenini.

Kwa sasa sare yoyote ile itawabeba Madrid na si PSG, kwasababu tayari Madrid alishinda gemu ya kwanza.
 
Umenisoma mpaka mwisho?
 


Mkuu hapo Nimekupata, kumbe ulijishitukia mwenyewe mwishoni
 
Kesharudi kuedit baada ya mmea kupungua nguvu kichwani
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…