Je wajua? Simba imecheza CAF Confederation Cup mara 6 wakaambulia Robo Fainali moja!

Ndio yawezekana, lakini hadi uteremshwe Europa maana yake uliondolewa Champions League mapema kabisa, maana wale wanaoondolewa baadaye huwa wanasubiri nje hadi msimu ujao. Na kuondolewa mapema Champions League huwa sio sifa nzuri
Katika hizo attempt sita Simba katelemshwa mara ngapi kutoka champions League kwenda federation cup?
 
Point yangu ni kwamba Simba huwa mara nyingi sio timu ya kucheza kombe la shirikisho. Hata ukiangalia hilo jedwali aliloleta jamaa, utaona Simba imepigana zaidi kwenye Klabu Bingwa kuliko shirikisho, maana huko huwa inaenda kwa bahati mbaya tu, sio nyumbani kwake kama Sevilla
 
Ndio yawezekana, lakini hadi uteremshwe Europa maana yake uliondolewa Champions League mapema kabisa, maana wale wanaoondolewa baadaye huwa wanasubiri nje hadi msimu ujao. Na kuondolewa mapema Champions League huwa sio sifa nzuri
Ni kweli ila hata timu kubwa huwa zinaondolewa uefa na kwenda Europa, tumeona mara kibao, ila tofauti ya timu kubwa na ndogo ni kwamba mkubwa akipelekwa Europa huwa mara nyingi anaingia fainali ila mdogo anatoka mapema, ndio kama Simba na Yanga tu, Yanga amefanya vizuri kwasababu ni mkubwa kuliko timu alizopangiwa.
 
Point yangu ni kwamba Simba huwa mara nyingi sio timu ya kucheza kombe la shirikisho. Hata ukiangalia hilo jedwali aliloleta jamaa, utaona Simba imepigana zaidi kwenye Klabu Bingwa kuliko shirikisho, maana huko huwa inaenda kwa bahati mbaya tu, sio nyumbani kwake kama Sevilla
Sasa nyie kila kitu hakiwezi
kwa wakubwa wenzenu [emoji777]
huku kwa loser [emoji777]
Azam federation [emoji777],
mapinduzi [emoji777]
Ngao ya jamii [emoji777]
mkaenda kucheza kombe la mtu na shoga yake kule Sudan [emoji777]
Mnajishugulisha na nini hapa duniani?
 
Eti wakubwa wenzao

Ahhaaaaa

Asante Kwa kumpasua
 
Back
Top Bottom