Je wajua? Simba imecheza CAF Confederation Cup mara 6 wakaambulia Robo Fainali moja!

Ndio nilitaka niseme mbn 98 siioni sema nikakausha tu mana najua kinachowafanya wakose raha ni wivu tu.
Kuna swali nilishauliza uwa awanipi majibu labda kwasababu ni Utopolo lakini kama ingekuwa ni Makolo wangeshajibu.

Nauliza tena kwenye haya mashindano ya CAF timu 2 zinazoingia fainali ya haya mashindano zinakuwa zimetokea stage gani?
 
Kwani alifanya nini cha maana?
Aliingia nusu fainali ya Klabu Bingwa ambapo walicheza kwenye makundi mawili sababu washindi wa kwanza kwa kila kundi ambao ni Asec Memosas na Dynamos Harare wakaingia fainali na Asec Memosas akabeba kombe.

Wajinga watakuja kubisha kwamba Utopolo hawakucheza nusu fainali ya Kombe la Shirikisho mwaka 1998
 
Kwani ni dhambi?
 
Kwanza umesema klabu bingwa halafu umekuja kusema shirikisho. Nyie sasa ndiyo mnaleta rekodi za kuungaunga.
 
Ila hizo kubwa ulizotaja za huko ulaya mara nyingi zikipelekwa Europa huwa zinafika fainali au zinabeba kabisa, nasema uongo ndugu zangu?
Tumia facts za mpira, weka rekodi za vigogo wa ulaya wangapi wamechukua Europa, umeshawahi jiuliza ni Kwan hata we mwenyewe hapo tu huifuatilii Europa Kwa kiasi hicho lakin UCL unaifuatilia Kila wakati?
 
Mwaka huu hawana pa kutokea, machaka yote tunafyeka dadadekii.
Umefyeka vichaka vyote, Hilo nakubali

1. Zalan
2. Mazembe
3. Monastriene
4. Bamako
5. Africain
6. Rivers
7. Marumo

Status za hao wote kwa msimu huu zinafahamika

Vipi kuhusu Chaka la Al hilal, ulifyeka?
 
Imepigana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]ni imepigwa mkuu na mara ya mwisho ilipigwa na Jwanengy Galaxy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…