Utabiri wako mkuu.....Yule MC WA MTAANI wa mchongo.tumeshamkamata tunampeleka kamati ya maadili ya TFFView attachment 2321810
The Fact ni kwamba Simba imeifunga Yanga Goli nyingi zaidi na Mara nyingi zaidi kwa ujumla kuliko Simba ilivyozifunga timu zingine zozote zile duniani Kwa kila mmoja wao.Salaam ndugu Wana JF
WAKATI watani wa jadi katika soka ya Tanzania, Simba na Yanga wanakutana usiku wa kesho Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo wa kuwania Ngao ya Jamii, mashabiki wa timu hizo wanatambiana kwa mambo mawili.
Yanga wanajivunia kuwafunga mara nyingi zaidi wapinzani wao katika mechi zilizozikutanisha timu hizo, wakati Simba wanajivunia vipigo vya mabao mengi, vikiongozwa na kile cha 6-0.
Takwimu from 1975 hadi 2017
Katika mechi 98 za Ligi Kuu na iliyokuwa Ligi Kuu ya Muungano zilizozikutanisha timu hizo. Tangu mchezo wa kwanza Juni 7, mwaka 1975, Yanga imeshinda mara 36 wakati Simba imeshinda mara 26 na mechi nyingine 33 timu hizo zikitoka sare.
Kwa tafsiri hii Ni kwamba Simba (kolo) Ni wanyonge likija swala la dabi ....sababu ya Simba kufungwa Sana Ni kuendekeza uchawi kuliko uhalisia (wanajikuta ndani ya mtumbwi wa vibwengo[emoji23][emoji23])
Utabiri wangu
Kila nikiiseti ramli yangu iniambie matokeo ya kesho naona mtambo wangu unazima? Ila nasikia shangwe kwa mbali za wananchi, huku nikisikia wanaimba wameshinda 2__1
Je, Utabiri wako umeendaje?
Kwako mkuu Mshana Jr
View attachment 2321496
Wabongo bana,,Acha kugeuza topic ....[emoji23][emoji23][emoji23]
Unakubali, au unakataa kufungwa mara nyingi zaidi?Mashabiki wa Yanga wamechanganyikiwa wanahitaji Msaada.
Lipeni kwanza hizi halafu tuendelee na takwimu maana mmejitaidi sana moja tena la mauza uza.Salaam ndugu Wana JF
WAKATI watani wa jadi katika soka ya Tanzania, Simba na Yanga wanakutana usiku wa kesho Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo wa kuwania Ngao ya Jamii, mashabiki wa timu hizo wanatambiana kwa mambo mawili.
Yanga wanajivunia kuwafunga mara nyingi zaidi wapinzani wao katika mechi zilizozikutanisha timu hizo, wakati Simba wanajivunia vipigo vya mabao mengi, vikiongozwa na kile cha 6-0.
Takwimu from 1975 hadi 2017
Katika mechi 98 za Ligi Kuu na iliyokuwa Ligi Kuu ya Muungano zilizozikutanisha timu hizo. Tangu mchezo wa kwanza Juni 7, mwaka 1975, Yanga imeshinda mara 36 wakati Simba imeshinda mara 26 na mechi nyingine 33 timu hizo zikitoka sare.
Kwa tafsiri hii Ni kwamba Simba (kolo) Ni wanyonge likija swala la dabi ....sababu ya Simba kufungwa Sana Ni kuendekeza uchawi kuliko uhalisia (wanajikuta ndani ya mtumbwi wa vibwengo[emoji23][emoji23])
Utabiri wangu
Kila nikiiseti ramli yangu iniambie matokeo ya kesho naona mtambo wangu unazima? Ila nasikia shangwe kwa mbali za wananchi, huku nikisikia wanaimba wameshinda 2__1
Je, Utabiri wako umeendaje?
Kwako mkuu Mshana Jr
View attachment 2321496
Hahahah naanzaje kuwa mwananchi mkuu Simba damu. Utabiri mimi sio mtabiri nachojua ni ushindi tuu kwa simba keshoBila shaka ww Ni mwananchii.....na hapa unawesema KOLOs
Anyway mkuu.....vp utabiri wako kesho???
Muda huo simba alikuwa anadhaminiwa na nani?Mkuu.......hii ilikuwa ni kipndi ambacho tulikuwa vibaya Sana kiuchumi....
Kesho Simba anajilia tigo ya Utopolo kwa raha zoteKesho Simba ...anakula ngap mkuu
Vinyesi hawataki kuambiwa ukweliWabongo bana,,
Nlichoongea cha uongo au?
Inawezekana zilifungwa hata akat haujazaliwa.........achana na past mkuuLipeni kwanza hizi halafu tuendelee na takwimu maana mmejitaidi sana moja tena la mauza uza. View attachment 2322013View attachment 2322014View attachment 2322015
Daaaah inasikitisha kwakweli.!!!!Hahahah naanzaje kuwa mwananchi mkuu Simba damu. Utabiri mimi sio mtabiri nachojua ni ushindi tuu kwa simba kesho
Unadhani inawezekana.....???Utopox inabidi wafungwe ili demigod na thiridi zake uchwara aendelee kupoteana.
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app