Je, wajua Simba ni timu iliyofungwa zaidi na Yanga hapa duniani?

Je, wajua Simba ni timu iliyofungwa zaidi na Yanga hapa duniani?

Kuna kiongozi mmoja wa MAKOLO.....amewaambia ukweli viongoz wao kuwa

" Ni rahisi kumfunga al ahly, zamalek .....lkin sio rahisi kumfunga YANGA [emoji23][emoji23]
 
Green ( yanga )....stands for vitamins

Red ( kolo) stands for vibwengo, vigagula[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jikate afu kitakachotoka, nipe taarifa ni rangi gan.

Walete utopolooooooo!!!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jikate afu kitakachotoka, nipe taarifa ni rangi gan.

Walete utopolooooooo!!!!!
Damu ya mzee[emoji23][emoji23]....Ina weusi flan kwa mbaaalii
 
Ongea kiume
 
Attachments

  • 20220813_155517.jpg
    20220813_155517.jpg
    45.9 KB · Views: 6
Back
Top Bottom