Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnalia hovyoo tyuuh.Wakubwa huwa hatuendi kwny vitu vdg vdg hivyo.....
Simba ni team kubwaaa.Kuhusu nn????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jikate afu kitakachotoka, nipe taarifa ni rangi gan.Green ( yanga )....stands for vitamins
Red ( kolo) stands for vibwengo, vigagula[emoji23][emoji23]
5-0Unakubali, au unakataa kufungwa mara nyingi zaidi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unachizika vibaya wee.Damu ya mzee[emoji23][emoji23]....Ina weusi flan kwa mbaaalii
Sisi kwa Al ahly, berkane, asec, usgn, Orlando.Labda kwa mbeya city....kagera ....mtibwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah sasa uongo?????Najua umeandika huku unatetemeka kwa uoga
Haswaaaaaah!!!!Remain only 6 hours
Leo sare.Utabiri wangu........
Kila nikiiseti ramli yangu iniambie matokeo ya kesho naona mtambo wangu unazima????? Ila nasikia shangwe kwa mbali za wananchiiii.....huku nikisikia wanaimba wameshinda 2__1[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2321514
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii game ya leo haina sare, lazima mshindi apatikane.Leo sare.
😅😅😅😅😅😅Lipeni kwanza hizi halafu tuendelee na takwimu maana mmejitaidi sana moja tena la mauza uza. View attachment 2322013View attachment 2322014View attachment 2322015
Kuhusu upande wa CAF hili halina mjadala.....hapa simba mmetuzidi parefu [emoji23][emoji23]
though.....tunapambana mwaka huu tuje na hili kombe la CAF
SIMBA watabaki kuwa SIMBA.. Labani og umeshawahi kuona damu ya manjano? Lakini nina hakika umeshawahi kusikia ugonjwa wa manjano.. Ama kuugua[emoji1787]View attachment 2321515
Sent using Jamii Forums mobile app