Je, wajua Simba ni timu iliyofungwa zaidi na Yanga hapa duniani?

Salaam ndugu Wana JF

WAKATI watani wa jadi katika soka ya Tanzania, Simba na Yanga wanakutana usiku wa kesho Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo wa kuwania Ngao ya Jamii, mashabiki wa timu hizo wanatambiana kwa mambo mawili.

Yanga wanajivunia kuwafunga mara nyingi zaidi wapinzani wao katika mechi zilizozikutanisha timu hizo, wakati Simba wanajivunia vipigo vya mabao mengi, vikiongozwa na kile cha 6-0.

Takwimu from 1975 hadi 2017
Katika mechi 98 za Ligi Kuu na iliyokuwa Ligi Kuu ya Muungano zilizozikutanisha timu hizo. Tangu mchezo wa kwanza Juni 7, mwaka 1975, Yanga imeshinda mara 36 wakati Simba imeshinda mara 26 na mechi nyingine 33 timu hizo zikitoka sare.

Kwa tafsiri hii Ni kwamba Simba (kolo) Ni wanyonge likija swala la dabi ....sababu ya Simba kufungwa Sana Ni kuendekeza uchawi kuliko uhalisia (wanajikuta ndani ya mtumbwi wa vibwengo[emoji23][emoji23])

Utabiri wangu
Kila nikiiseti ramli yangu iniambie matokeo ya kesho naona mtambo wangu unazima? Ila nasikia shangwe kwa mbali za wananchi, huku nikisikia wanaimba wameshinda 2__1

Je, Utabiri wako umeendaje?

Kwako mkuu Mshana Jr

View attachment 2321496
The Fact ni kwamba Simba imeifunga Yanga Goli nyingi zaidi na Mara nyingi zaidi kwa ujumla kuliko Simba ilivyozifunga timu zingine zozote zile duniani Kwa kila mmoja wao.
 
Acha kugeuza topic ....[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Salaam ndugu Wana JF

WAKATI watani wa jadi katika soka ya Tanzania, Simba na Yanga wanakutana usiku wa kesho Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo wa kuwania Ngao ya Jamii, mashabiki wa timu hizo wanatambiana kwa mambo mawili.

Yanga wanajivunia kuwafunga mara nyingi zaidi wapinzani wao katika mechi zilizozikutanisha timu hizo, wakati Simba wanajivunia vipigo vya mabao mengi, vikiongozwa na kile cha 6-0.

Takwimu from 1975 hadi 2017
Katika mechi 98 za Ligi Kuu na iliyokuwa Ligi Kuu ya Muungano zilizozikutanisha timu hizo. Tangu mchezo wa kwanza Juni 7, mwaka 1975, Yanga imeshinda mara 36 wakati Simba imeshinda mara 26 na mechi nyingine 33 timu hizo zikitoka sare.

Kwa tafsiri hii Ni kwamba Simba (kolo) Ni wanyonge likija swala la dabi ....sababu ya Simba kufungwa Sana Ni kuendekeza uchawi kuliko uhalisia (wanajikuta ndani ya mtumbwi wa vibwengo[emoji23][emoji23])

Utabiri wangu

Kila nikiiseti ramli yangu iniambie matokeo ya kesho naona mtambo wangu unazima? Ila nasikia shangwe kwa mbali za wananchi, huku nikisikia wanaimba wameshinda 2__1

Je, Utabiri wako umeendaje?

Kwako mkuu Mshana Jr

View attachment 2321496
Lipeni kwanza hizi halafu tuendelee na takwimu maana mmejitaidi sana moja tena la mauza uza.
IMG-20220808-WA0037.jpg
IMG-20220808-WA0036.jpg
IMG-20220808-WA0038.jpg
 
Bila shaka ww Ni mwananchii.....na hapa unawesema KOLOs

Anyway mkuu.....vp utabiri wako kesho???
Hahahah naanzaje kuwa mwananchi mkuu Simba damu. Utabiri mimi sio mtabiri nachojua ni ushindi tuu kwa simba kesho
 
Daaaah inasikitisha kwakweli.!!!!

Una unique name
Unique English figure
Unique dp .......hau deserve kuwa Simba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1751][emoji1751]
 
Back
Top Bottom