Pole sana.Hii game ya leo haina sare, lazima mshindi apatikane.
Mkuu Mshana heshima yako.🙏🏽🙏🏽Utabiri wangu........
Kila nikiiseti ramli yangu iniambie matokeo ya kesho naona mtambo wangu unazima????? Ila nasikia shangwe kwa mbali za wananchiiii.....huku nikisikia wanaimba wameshinda 2__1[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2321514
Sent using Jamii Forums mobile app
Salute kwako.... Takutafuta unisaidie jambo kumbe tunguli zako bado zinafanya kaziUtabiri wangu........
Kila nikiiseti ramli yangu iniambie matokeo ya kesho naona mtambo wangu unazima????? Ila nasikia shangwe kwa mbali za wananchiiii.....huku nikisikia wanaimba wameshinda 2__1[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2321514
Sent using Jamii Forums mobile app
HAHAHA TUMEONA MZEE MWENZETUUtabiri wangu........
Kila nikiiseti ramli yangu iniambie matokeo ya kesho naona mtambo wangu unazima????? Ila nasikia shangwe kwa mbali za wananchiiii.....huku nikisikia wanaimba wameshinda 2__1[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2321514
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumekuchaaaaa!!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Walikuponda mkuuSalaam ndugu Wana JF
WAKATI watani wa jadi katika soka ya Tanzania, Simba na Yanga wanakutana usiku wa kesho Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo wa kuwania Ngao ya Jamii, mashabiki wa timu hizo wanatambiana kwa mambo mawili.
Yanga wanajivunia kuwafunga mara nyingi zaidi wapinzani wao katika mechi zilizozikutanisha timu hizo, wakati Simba wanajivunia vipigo vya mabao mengi, vikiongozwa na kile cha 6-0.
Takwimu from 1975 hadi 2017
Katika mechi 98 za Ligi Kuu na iliyokuwa Ligi Kuu ya Muungano zilizozikutanisha timu hizo. Tangu mchezo wa kwanza Juni 7, mwaka 1975, Yanga imeshinda mara 36 wakati Simba imeshinda mara 26 na mechi nyingine 33 timu hizo zikitoka sare.
Kwa tafsiri hii Ni kwamba Simba (kolo) Ni wanyonge likija swala la dabi ....sababu ya Simba kufungwa Sana Ni kuendekeza uchawi kuliko uhalisia (wanajikuta ndani ya mtumbwi wa vibwengo[emoji23][emoji23])
Utabiri wangu
Kila nikiiseti ramli yangu iniambie matokeo ya kesho naona mtambo wangu unazima? Ila nasikia shangwe kwa mbali za wananchi, huku nikisikia wanaimba wameshinda 2__1
Je, Utabiri wako umeendaje?
Kwako mkuu Mshana Jr
View attachment 2321496
HongereniUtabiri wangu
Kila nikiiseti ramli yangu iniambie matokeo ya kesho naona mtambo wangu unazima? Ila nasikia shangwe kwa mbali za wananchi, huku nikisikia wanaimba wameshinda 2__1