Je, wajua Simba ni timu iliyofungwa zaidi na Yanga hapa duniani?

Je, wajua Simba ni timu iliyofungwa zaidi na Yanga hapa duniani?

Utabiri wangu........
Kila nikiiseti ramli yangu iniambie matokeo ya kesho naona mtambo wangu unazima????? Ila nasikia shangwe kwa mbali za wananchiiii.....huku nikisikia wanaimba wameshinda 2__1[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2321514

Sent using Jamii Forums mobile app
Salute kwako.... Takutafuta unisaidie jambo kumbe tunguli zako bado zinafanya kazi
 
Salaam ndugu Wana JF

WAKATI watani wa jadi katika soka ya Tanzania, Simba na Yanga wanakutana usiku wa kesho Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo wa kuwania Ngao ya Jamii, mashabiki wa timu hizo wanatambiana kwa mambo mawili.

Yanga wanajivunia kuwafunga mara nyingi zaidi wapinzani wao katika mechi zilizozikutanisha timu hizo, wakati Simba wanajivunia vipigo vya mabao mengi, vikiongozwa na kile cha 6-0.

Takwimu from 1975 hadi 2017
Katika mechi 98 za Ligi Kuu na iliyokuwa Ligi Kuu ya Muungano zilizozikutanisha timu hizo. Tangu mchezo wa kwanza Juni 7, mwaka 1975, Yanga imeshinda mara 36 wakati Simba imeshinda mara 26 na mechi nyingine 33 timu hizo zikitoka sare.

Kwa tafsiri hii Ni kwamba Simba (kolo) Ni wanyonge likija swala la dabi ....sababu ya Simba kufungwa Sana Ni kuendekeza uchawi kuliko uhalisia (wanajikuta ndani ya mtumbwi wa vibwengo[emoji23][emoji23])

Utabiri wangu

Kila nikiiseti ramli yangu iniambie matokeo ya kesho naona mtambo wangu unazima? Ila nasikia shangwe kwa mbali za wananchi, huku nikisikia wanaimba wameshinda 2__1

Je, Utabiri wako umeendaje?

Kwako mkuu Mshana Jr

View attachment 2321496
Walikuponda mkuu
 
Kumekuchaaaaa!!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera sana mtani
Ata sihitaji.....naona tu unanipigia makelele[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom