Je, wajua Simba ni timu iliyofungwa zaidi na Yanga hapa duniani?

Salaam ndugu Wana JF

WAKATI watani wa jadi katika soka ya Tanzania, Simba na Yanga wanakutana usiku wa kesho Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo wa kuwania Ngao ya Jamii, mashabiki wa timu hizo wanatambiana kwa mambo mawili.

Yanga wanajivunia kuwafunga mara nyingi zaidi wapinzani wao katika mechi zilizozikutanisha timu hizo, wakati Simba wanajivunia vipigo vya mabao mengi, vikiongozwa na kile cha 6-0.

Takwimu from 1975 hadi 2017
Katika mechi 98 za Ligi Kuu na iliyokuwa Ligi Kuu ya Muungano zilizozikutanisha timu hizo. Tangu mchezo wa kwanza Juni 7, mwaka 1975, Yanga imeshinda mara 36 wakati Simba imeshinda mara 26 na mechi nyingine 33 timu hizo zikitoka sare.

Kwa tafsiri hii Ni kwamba Simba (kolo) Ni wanyonge likija swala la dabi ....sababu ya Simba kufungwa Sana Ni kuendekeza uchawi kuliko uhalisia (wanajikuta ndani ya mtumbwi wa vibwengo[emoji23][emoji23])

Utabiri wangu
Kila nikiiseti ramli yangu iniambie matokeo ya kesho naona mtambo wangu unazima? Ila nasikia shangwe kwa mbali za wananchi, huku nikisikia wanaimba wameshinda 2__1

Je, Utabiri wako umeendaje?

Kwako mkuu Mshana Jr

View attachment 2321496
Simba 6-0 yanga. Kipigo kibaya zaidi kuwahi kutokea. Funga weee, siku tunakudhallisha usilie.
 
Haya waambie utopolo wenzio kuwa kwenye hizo mara chache walizoshinda Simba wamemkwatua uto 6-0, 5-0 na 4-1
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
1931989719.jpg
 
Wana hasira hawaja alikwa CAF Arusha. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakubwa huwa hatuendi kwny vitu vdg vdg hivyo.....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwisha habari yakoooo
Green ( yanga )....stands for vitamins

Red ( kolo) stands for vibwengo, vigagula[emoji23][emoji23]
 
Simba 6-0 yanga. Kipigo kibaya zaidi kuwahi kutokea. Funga weee, siku tunakudhallisha usilie.
Mkuu.......hii ilikuwa ni kipndi ambacho tulikuwa vibaya Sana kiuchumi....
 
Upuuuzi mtupu yani hivyo vigoli ndo unatamba nyie kweli timu ya chama maana kwao kushinda hata kwa bao la mkono ni sawa.
Bila shaka ww Ni mwananchii.....na hapa unawesema KOLOs

Anyway mkuu.....vp utabiri wako kesho???
 
Haya waambie utopolo wenzio kuwa kwenye hizo mara chache walizoshinda Simba wamemkwatua uto 6-0, 5-0 na 4-1
Lkn ilikuwa zamani Sana.....kabla hujazaliwa....so inawezekana Ni uongo
 
Back
Top Bottom