Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
3 0Mkuu....wew ngap ngap huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unawashwaaaaa,Ata sihitaji.....naona tu unanipigia makelele[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana nilikuwa safarini tena safari ya masafa .. Siwezi kukimbia kwa jambo ambalo sina maamuzi naloBaada ya kichapo....ulipotea kabisa jf
😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahEndelea tu kuugulia maumivu.....
Koment yako tokea tarehe 13,nimeitafuta kama dhahabu enheee ilikuwaje kwanza, ulitekwa au umejiteka.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
tarehe 23 vipi? hebu chungulia.Utabiri wangu........
Kila nikiiseti ramli yangu iniambie matokeo ya kesho naona mtambo wangu unazima????? Ila nasikia shangwe kwa mbali za wananchiiii.....huku nikisikia wanaimba wameshinda 2__1[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2321514
Sent using Jamii Forums mobile app
Wajinga sn nyie. Group stage since 1998Salaam ndugu Wana JF
WAKATI watani wa jadi katika soka ya Tanzania, Simba na Yanga wanakutana usiku wa kesho Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo wa kuwania Ngao ya Jamii, mashabiki wa timu hizo wanatambiana kwa mambo mawili.
Yanga wanajivunia kuwafunga mara nyingi zaidi wapinzani wao katika mechi zilizozikutanisha timu hizo, wakati Simba wanajivunia vipigo vya mabao mengi, vikiongozwa na kile cha 6-0.
Takwimu from 1975 hadi 2017
Katika mechi 98 za Ligi Kuu na iliyokuwa Ligi Kuu ya Muungano zilizozikutanisha timu hizo. Tangu mchezo wa kwanza Juni 7, mwaka 1975, Yanga imeshinda mara 36 wakati Simba imeshinda mara 26 na mechi nyingine 33 timu hizo zikitoka sare.
Kwa tafsiri hii Ni kwamba Simba (kolo) Ni wanyonge likija swala la dabi ....sababu ya Simba kufungwa Sana Ni kuendekeza uchawi kuliko uhalisia (wanajikuta ndani ya mtumbwi wa vibwengo[emoji23][emoji23])
Utabiri wangu
Kila nikiiseti ramli yangu iniambie matokeo ya kesho naona mtambo wangu unazima? Ila nasikia shangwe kwa mbali za wananchi, huku nikisikia wanaimba wameshinda 2__1
Je, Utabiri wako umeendaje?
Kwako mkuu Mshana Jr
View attachment 2321496