mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
Mnaharibu Uzi Mzuri kwa utoto.Je wajua!!? Tanzania ndio nchi pekee duniani iliobarikiwa kuwa na team mbovu ya mpira wa miguu kuliko nchi yeyote ile ulimwenguni..
China walishashusha chombo chao upande huu wa giza wa mweziMwezi ni satellite ya asili. Hujizungusha kwenye mhimili wake kwa kukamilisha mzunguko wake huku ikiizunguka Dunia. Ajabu ni kwamba gravity ya Dunia inaushikilia Mwezi kwa kiasi kwamba Mwezi huizunguka Dunia kwa kuiangalia sura(upande) uleule unaotizamana na Dunia siku zote.
Kwa ufupi, one side ya Moon always faces us. Kwa hiyo, the dark side of the moon hatuijui. Tafiti yake imebakia kua ya fikra, na maswali ya fikra yanajibika kwa fikra.
huo ndio ukweli wenyewe mkuu ila watanzania wengi mizaha wanaipa kipau mbele zaidi kuliko kuwa serious muda mwingine. Ila inatubidi kuvumiliana tu.Mnaharibu Uzi Mzuri kwa utoto.
Aisee hata wakristo nao ni mwendo huohuo tu.!?nchi yq chad ni moja ya nchi duniani ambayo kuoa wanawake wengi ni utaratiu wa kawaida kwa watu wote sio tu waislam.
Kongole wa mama zetu popote pale walipo.Mwanamke anapokuwa anajifungua maumivu yake ni sawa na kuvunjika mifupa 20 kwa wakati mmoja.
Women are champions. Then bado tunafikiri wanaume ni imara.
Umenena.At least maswala Kama haya na sio wajinga wengine kila uzi wanaleta siasa,acheni uchoko wengine hawapendi siasa izo
Kazi yake Mungu haina makosa, ulitaka nani awe na hayo maumivu sasa nakati Mungu ndiye aliyeamua na huwa hapangiwi [emoji848]Mwanamke anapokuwa anajifungua maumivu yake ni sawa na kuvunjika mifupa 20 kwa wakati mmoja.
Women are champions. Then bado tunafikiri wanaume ni imara.
Jiji la London ndio jiji ta tatu kwa udogo katika england.
Lina square Km 2.9 na watu 9401 hadi kufikia 2016
Na bwana harusi anakuwa bado anastimu maana kichwa cha chini kinakuwa bado kimelowana??Je wajua kuwa ndoa ya mkeka haina mshenga
Kivipi mkuuJe wajua Charlie Chaplin mchekeshaji maarufu Duniani alishiriki kisirisiri shindano la mtu anaefanana na yeye na akaibuka mshindi wa 3?
**Uholanzi