Je, wajua? - Special Thread

Je, wajua? - Special Thread

Umri mdogo ni umri gani? Km alifanya uo mchezo mwache azae
 
Wasichana wanaoolewa katika umri mdogo wapo katika hatari kubwa ya kupata changamoto za uzazi wakati wa kujifungua.
#NdoaZaUtotoni #SheriaYaNdoa
mbona huko chini wakubwa sana huwez ukilinganisha na umri wao
 
Wazee walioolewa wakiwa bado umri mdogo na hawakupata matatizo yoyote

Siku hizi mnakuza Sana mambo
 
Kampeni za hovyo sana hizi. Waendesha kampeni ni wanaharakati ambao hawakusoma masomo ya sayansi
 
Kampeni za hovyo sana hizi. Waendesha kampeni ni wanaharakati ambao hawakusoma masomo ya sayansi
 
Subiri waje wakuambie mbona bibi zetu walikuwa wanaolewa mapema, na hawakupata hayo matatizo, utadhani bibi zetu walifurahia hizo tamaduni
 
Tukitafuta Bikra wanasema umri mdogo, tukiwaacha wakue inakua mishangazi used inalilia ndoa inaishia kuzalishwa na kuachwa yaani kizazi cha Misingo Maza hakina Waifu matirio kabisa.
 
Back
Top Bottom