Je, wajua? - Special Thread


Hii ni Biblia gani !?.......ile ya Vitabu 66 au 73 !?......na katika zile amri kumi, kuna amri moja Wakatoliki wameichomoa, sasa bado hesabu haijavurugika !?
Na hizi takwimu zako zinawakilisha Biblia ya lugha gani !? .........maana Biblia ipo mpaka ya Kibondei ! Mlendamboga
 
Last edited by a moderator:

11) Ni ipi tofauti ya Biblia na Injil ?

12) Ni ipi tofauti ya Yehova na Yesu ?.......au ni sawa ?

13) Mariam mama yake Yesu, alizaa watoto wengine baada ya Yesu ?........wangapi ?

Njoo mtaalamu we Mlendamboga
 
Last edited by a moderator:
Ajabu ndio iman hiyo hiyo imethibitika kushindwa dunian.kwan misingi yake ni ugaidi;uchawi;ujinga;usodoma;visasi;chuki
KIKOSIKAZI
come again !..........kumuua mwana wa mungu (ugaidi), kutoana mapepo kanisani na kutoa misukule (uchawi), kununua picha ya mungu dukani (ujinga), kanisa kuruhusu ushoga na mapadre kulawiti watoto (usodoma), kupiga vita mahakama ya Kadhi ambayo hawana chochote cha kuwahusu na kujifanya wanaijua sanaa ! (chuki) = Ukiristu
 
Last edited by a moderator:
Biblia ya aina gani King James, Good News au ipi?
Na imeandikwa kwa lugha gani hiyo Biblia??

Tumsifu Yesu Kristo

Au ile ya Gideoni inayowekwa Guest House !?.........naona mleta hoja kasepaaa Mlendamboga
 
Last edited by a moderator:
Walijiona wajanja kwa kuandika biblia kwa lugha tofauti,hawakujuwa kama iko siku mahesabu hayatakubali.Qur'an iko kwenye lugha yake ya asili,hakuna utofauti.
 
Last edited by a moderator:
Sasa na Mzungu akija akasema biblia ina herufi anazojua yeye kwa lugha yake tushike lipi? Mtazamo tu
.
 
Sasa na Mzungu akija akasema biblia ina herufi anazojua yeye kwa lugha yake tushike lipi? Mtazamo tu
.
Hawa wameigiza Qur'an,lakini wamesahau Qur'an ina lugha moja tu,kiarabu.
Lakini biblia ziko(sio iko)lugha tofauti na maandishi na herufi tofauti.
 
Je wajua Tanzania ndio nchi pekee yenye marais wengi ? rais wa manzese,rais wa wasafi,rais wa tff,rais wa wanaume swebe japo jk ndio kiongozi wa nchi
 
Je, wajua?

Tanzania ni inchi pekee EA huwezi tofautisha kati ya mwanamke na mwanaume kitabia. Wote wako na tabia za kike!
 
Je wajua Richard Nixon ndiye Rais pekee wa Marekani kuwahi kujiuzulu Urais akiwa madarakani...
 
Je wajua Marekani ina maraisi wanne walio uliwa wakiwa madarakani,.…?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…