Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,650
Je wajua? Kitabu kitakatifu kwa wakristo kijulikanacho kama Biblia kina
[*]Herufi 3,566,480,
[*]Maneno 810,677
[*]Mistari 31,175
[*]Sura 1089
[*]Sura ndefu kuliko zote ni Zaburi 119
[*]Sura fupi kuliko zote ni Zaburi 117
[*]Mstari ambao upo katikati ya biblia (ambako kwenda mbele ni sawa na kurudi nyuma) ni Zaburi 118:8
[*]Jina refu kuliko yote katika biblia linapatikana Isaya 8:1
[*]Neno Bwana linapatikana kwenye biblia mara 1855
[*]Misitari katika biblia inayofanana neno kwa neno ni 2Wafalme 19 na Isaya 37
[*]Mstari mfupi kuliko yote ni Yohana 11:35
[*]Je wataka kujua nini juu ya Biblia?
Hii ni Biblia gani !?.......ile ya Vitabu 66 au 73 !?......na katika zile amri kumi, kuna amri moja Wakatoliki wameichomoa, sasa bado hesabu haijavurugika !?
Na hizi takwimu zako zinawakilisha Biblia ya lugha gani !? .........maana Biblia ipo mpaka ya Kibondei ! Mlendamboga
Last edited by a moderator: