ju wajua uzito wa tembo unalingana au umepishana kidogo sana na uzito wa mnyama nyangumi?? wajua hilo??
nilisahau mkuu ni ulimi wa nyangumi ndo unakaribiana na uzito wa tembo.....
wewe ni mwanafalsafa (fa)
Je wajua?
1. Mamba hatafuni anakata vipande na kumeza.
2. Macho ya mamba hayana mifuniko (eyelids)
3. Meno ya mamba hayagusani kwenye surface akifunga mdomo, binadamu ya juu na chini yanagusana (oclussion)
4.Tembo anaweza kunusa harufu ya maji kutoka umbali wa zaidi ya km 3.
5. Papa (shark) anaweza kupata harufu ya TONE MOJA LA DAMU ndanid ya maji akiwa umbali wa mita 400! (Usioge baharini ukiwa na kidonda kibichi)
6.Papa akiwa kwenye maji hawezi kusimama huku akielea. Ni lazima awe ana move ili aelee. Density yake ni kubwa kuliko ya maji na hana swim bladder
Je wajua mtaa mrefu duniani?
Ni Yonge street ulioko Canada una urefu wa km 1896
Je wajua mwanza ndio mkoa wenye kiasi kikubwa cha maji kuliko mkoa wowote hapa tz na singida ndio mkoa mkame kabisa
je wajua?
sio waislamu wote ni magaidi ila magaidi wote ni Islamic
mwanza_dar km 1080 inamaa karibia mara mbili?
uongo huu
Je wajua
Simba wanaopatikana hifadhi ya Tarangire, ndio Simba pekee wanaopanda juu ya miti duniani.