ujoka
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 4,792
- 11,295
ju wajua uzito wa tembo unalingana au umepishana kidogo sana na uzito wa mnyama nyangumi?? wajua hilo??
mkuu umezogoa nyungumi mkubwa kabisa anafikia tan 95 na ulimi wake hufikia uzito wa tan tisa na tembo mkubwa kabisa hufikia tan sita umemdhalilisha sana nyangumi kumlinganisha na tembo