Je wajua mji wa Hargeisa ndio mji pekee duniani ambapo abiria hukusanya wenyewe nauli katika town buses na kumkabidhi dereva. (Huo ndio uaminifu)
Je wajua kuwa Zidane alimsaidia mkunga aliyekua anamzalisha mama yake wakati zidane anazaliwa?
Je wajua mji wa Hargeisa ndio mji pekee duniani ambapo abiria hukusanya wenyewe nauli katika town buses na kumkabidhi dereva. (Huo ndio uaminifu)
acha uongo mkuu huo sio mji pekee...dubai na south africa ni utaratibu uliozoeleka kabisa
hata hapa morogoro ipo hio daladala za sua-mjini hazina konda abiria anusanya naulia anampa dereva
acha uongo mkuu huo sio mji pekee...Dubai na South Africa ni utaratibu uliozoeleka kabisa
Je wajua Cleopatra aliyekuwa kiongozi Misri ndiye mwanamke mzuri/mrembo kuliko wote duniani pamoja na kuzaa watoto na hatatokea tena kama yeye? Source: soma Biblia takatifu.
Je wajua mboga iliyonunuliwa kwa bei kubwa zaidi, ni ile aliyonunua Tibaijuka wa milioni kumi!
View attachment 231322
Je wajua expiration date ya kwenye bottled water ni ya chupa na sio maji yaliomo.
Je wajua mboga iliyonunuliwa kwa bei kubwa zaidi, ni ile aliyonunua Tibaijuka wa milioni kumi!