Je, wajua? - Special Thread

Je, wajua? - Special Thread

je wajua Tanzania pekee chama cha siasa kinagawa khanga na kofia na watu wanakipa kura za ndio?
 
Je wajua mji wa Hargeisa ndio mji pekee duniani ambapo abiria hukusanya wenyewe nauli katika town buses na kumkabidhi dereva. (Huo ndio uaminifu)
 
Je wajua mji wa Hargeisa ndio mji pekee duniani ambapo abiria hukusanya wenyewe nauli katika town buses na kumkabidhi dereva. (Huo ndio uaminifu)

acha uongo mkuu huo sio mji pekee...Dubai na South Africa ni utaratibu uliozoeleka kabisa
 
acha uongo mkuu huo sio mji pekee...dubai na south africa ni utaratibu uliozoeleka kabisa

hata hapa morogoro ipo hio daladala za sua-mjini hazina konda abiria anusanya naulia anampa dereva
 
acha uongo mkuu huo sio mji pekee...Dubai na South Africa ni utaratibu uliozoeleka kabisa

Huko hela zinakusanywa toka abiria wa mwisho anampa wa karibu na mpaka zinamfikia dereva ambapo bila kuhesabu anazitupia kwenye dashboard, sasa niambie hiyo ya Dubai na SA
 
Je wajua Cleopatra aliyekuwa kiongozi Misri ndiye mwanamke mzuri/mrembo kuliko wote duniani pamoja na kuzaa watoto na hatatokea tena kama yeye? Source: soma Biblia takatifu.

Umevurugwa hakuna story ya cleopatra ktk Biblia takatifu.
 
Je wajua kuwa ktk jiji la Dar es salaam mboga za majani hulimwa kandokando ya mitaro ya maji taka!
 
ImageUploadedByJamiiForums1425325275.823124.jpg
Je wajua expiration date ya kwenye bottled water ni ya chupa na sio maji yaliomo.
 
1. Waziri Mkuu wa Kwanza Tanganyika, kisha Rais wa Jamhuri mwaka 1962
2. Pamoja na Azimio la Arusha kutaifisha shule za binafsi, lakin hakutaifisha Shule za seminari za Katoliki
3. Hakutaka baadhi ya wagombea urais mwaka 1985 na 1995
4. Chancellor wa kwanza wa UDSM
 
Unataka tuchague jibu sahihi au lisilo sahihi? haueleweki.
 
Tanzania ni nchi pekee duniani ambapo mtoto anamaliza darasa la saba akiwa hajui kusoma na kuandika.
 
Back
Top Bottom