Je, wajua? - Special Thread


Simba ni mnyama anayeishi katika kundi -----, hivyi hata uwindaji wake ni kwa kundi ndivyo alivyo lelewa na hauwezi mfananisha tembo na simba , simba aliekua max anafikisha kilo 250, wakati tembo ni zaidi ya kg 5000 na kifaru ni zaid 3500, na nyati ni zaidi ya 800, kiboko zaidi ya 2000 unaweza ona ni vipi simba mmoja aue mnyama mkubwa zaidi yake tena peke yake, ingawa mara zingine anaweza fanikiwa akiwa peke ya kama atawahi taiming kwa nyati, na kwa chui sio kweli kabisa ndani ya dk 1 chui atakua amekwisha, hata mbwa mwitu vivyo hivyo, wanaweza tu kimshinda simba kama watakua wengu zaidi ya simba
 
mtoa mada nahisi kajiandikia kwa kuangalia ukubwa wa wanyama,nyati kila siku analiwa ,labda huna muda wa kuangalia wanyama.

binadamu nasikia machi kwa macho simba anarudi nyuma.

Aliykidanganya macho kwa mcho....usijeliwa na simba kiongozi simba anatabia ya kuavoid binadamu wakati wa mchana, usiku ukikutana nae 99% umeliwa, na kwa simba ambaye amewahi kuua binadamu wakati wowote ukikutana nae mchana au usiku una asilimia0.00000000000001 kuendelea kuishi
 
Polisi nimekuwa much interested na jibu lako, naweza kujua ni kwanini Hawa Mikia wa Msimbazi hawafukuti kwa Mbwa Mwitu?
Nadhani ni asili ya uumbaji. Kama ilivyo mbwa kwa fisi na panya kwa paka. Mbwa pamoja na mbio zake akimwona fisi nguvu zinaisha kabisa. Panya pia hata awe juu akimwona paka anaweza kudondoka mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
mtoa mada nahisi kajiandikia kwa kuangalia ukubwa wa wanyama,nyati kila siku analiwa ,labda huna muda wa kuangalia wanyama.

binadamu nasikia machi kwa macho simba anarudi nyuma.

Mh! kwa binadam pagum hapo
 

Ninamkanda chui analiwa live
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…