Nzega Yetu Kwanza
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 306
- 137
Sungura Hata Simba Wawe Sita Hawakawezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tunajua simba ni mfalme wa nyika lakini inasemekana hana ujanja kwa wanyama wafuatao yaani hana ubavu wa kupambana nao akiwa peke yake yaan fight ya one to one, wanyama hao ni TEMBO,KIFARU,KIBOKO,CHUI NA NYATI. ila kama anayefahamu zaidi kuhusu hii issue karibu atujuze hapa
Mbwa mwitu hata akiwa mmoja simba 10 hawamwezi
mtoa mada nahisi kajiandikia kwa kuangalia ukubwa wa wanyama,nyati kila siku analiwa ,labda huna muda wa kuangalia wanyama.
binadamu nasikia machi kwa macho simba anarudi nyuma.
Hi ya mbwa mwitu ni kweli kabisa,ila sijui ni kwa nn .
Nadhani ni asili ya uumbaji. Kama ilivyo mbwa kwa fisi na panya kwa paka. Mbwa pamoja na mbio zake akimwona fisi nguvu zinaisha kabisa. Panya pia hata awe juu akimwona paka anaweza kudondoka mwenyewePolisi nimekuwa much interested na jibu lako, naweza kujua ni kwanini Hawa Mikia wa Msimbazi hawafukuti kwa Mbwa Mwitu?
mbwa mwitu hata akiwa mmoja simba 10 hawamwezi
Hapo kwenye nyati..... Nina mashaka...
simba mmoja anawaua yanga 10
Bila kumsahau binadamu.