Bila kumsahau binadamu.
mh! Labda kwa machenga
Unaota ?
fafanua
tunajua simba ni mfalme wa nyika lakini inasemekana hana ujanja kwa wanyama wafuatao yaani hana ubavu wa kupambana nao akiwa peke yake yaan fight ya one to one, wanyama hao ni TEMBO,KIFARU,KIBOKO,CHUI NA NYATI. ila kama anayefahamu zaidi kuhusu hii issue karibu atujuze hapa
Hapo kwenye nyati..... Nina mashaka...
Hapo kwenye nyati..... Nina mashaka...
Kuna kiumbe kinaitwa Nungunungu
Hiyo simba 10 inaweza ngumu ila head to head, wild dog vs lion, lion lazima afe. Sababumkuu unasema kweli? Au
Hiyo simba 10 inaweza ngumu ila head to head, wild dog vs lion, lion lazima afe. Sababu
1. Mbwa mwitu wanamla simba ila simba hamli mbwa mwitu, unapata logic?
2.Katika uwindaji, mbwi mwitu hana papara na yupo more accurate mara 4 ya simba. Watalaam wanasema mbwa mwitu hufanikiwa target tatu katinya nne
Nadhani ni asili ya uumbaji. Kama ilivyo mbwa kwa fisi na panya kwa paka. Mbwa pamoja na mbio zake akimwona fisi nguvu zinaisha kabisa. Panya pia hata awe juu akimwona paka anaweza kudondoka mwenyewe
kabla hujachangia uzi huu inabidi uwe vizur kwenye tabia za wanyama, wengi mnadanganya ingawa watanzania ndio wenye uwanja mpana wa kujua wildlife kwan ndo nchi ya pili yenye vivutio vingi vya kitalii duniani ikitanguliwa na brazil, ikiwemo hifadhi ya serengeti ambayo wazungu wanaita "urithi wa dunia" mtoa mada si mzalendo kwa kutojua haya. Sifa za wanyama ulizozitoa katka thread yako zinaonesha ni jinsi gani elimu ya viumbe hai na maliasili ya nchi yalivyokupita mbali. Hufai kuishi tanzania.
aHuwajui mbwa mwitu wewe!mbwa mwitu mpaka wawe kundi kama 10 ivi....otherwise hawafurukuti..
toa mchango wako mkuu