Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hi ya mbwa mwitu ni kweli kabisa,ila sijui ni kwa nn .
Chui anazinguliwa sana tu hata kama ana watoto anawaacha anaenda kukaa mbali...tunajua simba ni mfalme wa nyika lakini inasemekana hana ujanja kwa wanyama wafuatao yaani hana ubavu wa kupambana nao akiwa peke yake yaan fight ya one to one, wanyama hao ni TEMBO,KIFARU,KIBOKO,CHUI NA NYATI. ila kama anayefahamu zaidi kuhusu hii issue karibu atujuze hapa
Point no 1 sio kweli, hakuna logic hapo umehisi tu, mbwa mwitu hawezi kabisa kipigana na simba na ikitolea wote wawe full grown mbwa ni ndani ya dakia atakua amekwisha habari yake mbwa anachoweza mzidi simba ni kukimbia bila ya kuchoka..si kweli simba ali mbwa ,simba ni carnivore anakula kila aina ya nyama.
Point 2.anachokiwinda mbwa sio anachokiwinda simba mbwa anawinda wanuama wadogo na simna anawinda wanyama wakubwa zaid, simba anategemea zaid ambush, mbwa mwitu anategemea uwezo wake wakukimbia bila ya kuchoka ndio sababu anashinda zaid target zake
hakuna mnyama anayeweza kupambana na BINADAMU
Mkuu, pitia vizuri ilikoipata hii elimu ya wanyama. Simba (siyo ile ya Msimbazi) anaweza kuwaua (siyo kuwawinda) Fisi, cheetah na wild dogs ila huwa hawali. Simba huwa anawaua wanyama hawa ili kupunguza upinzani tu kwa kuwa wote wana compete aina moja ya chakula (wanyama wengine). Simba hawezi kumla fisi, nevaaa!