Je, wajua? - Special Thread

Je, wajua? - Special Thread

Mkuu hizo sifa unazompa chui/leopard nadhani unamfananisha na duma/cheeter, chui hukamatwa kwa urahisi sana hata na mbwa wa kufugwa, 2011 kuna chui alijilengesha hapa kwenye mifugo yangu ndan ya fence usiku, aliuawa kirahisi tena na mbwa mmoja. Mbugani pia chui akihisi makazi yake yapo karibu na pride ya simba anahama, hana uwezo kabisa hata wa kupambana na ndama la simba Au Simba Mgonjwa.

Mkuu ninachoandika nakijua duma na chui ni wanyama tofauti kabisa, duma ni predator dhaifu ukilinganisha kati yake na chui na simba, kwaulicho kisema katafute tafiti za TAWIRI kuhusu wanyama pori wenye conflict kubwa na binadamu mmoja wao chui anaongoza sana kwa kuua hasa mbwa na mbuzi na kondoo, kwa kesi yako kua mbwa alimuu chui sikatai nataka unijuze mazingira yake je mlimtega chui? Je chui alikua mwenye hali gani mgonjwa au mzee? Chui katika ubora wake mbwa hawezi pata nafasi ya kuishi mkuu, katika bandiki langu hapo juu nimeeleza kwa kiasi maisha ya chui , chui anaishi solitary hivyi nafasi ya simba mmoja akutane na chui 20 haipo, lkn kama umewakusanya chui 20 na simna mmoja wapigane simba hatoweza tena dk 1 hamalizi,ni sawa na tyson apogane na akina cheka 20 kwa wakati mmoja....Note muhimu ujue kwanini wanyama pori wanakuja vamia/winda kwenye makazi ya watu, itakusadia kupata mwanga kwanini mbwa wako aliweza muua chui.
Kuhusu suala la chui kuhama pakiwa na pride ya simba ni kweli, kwakua chui mmoja hawezi pambana na simba hata mmoja sasa pride ya simba inamaa ni simba zaidi ya mmoja ndio kabisa since chui ni solitary and territorial

Naomba ni ni declare interest mm ni wildlife expert. 15 year experience..kama una swali unaweza niuliza na ntakujibu kadiri ya nijuavyo
 
Wote mnaobishana hapa hamuwajui vizuri wanyama; Sasa for your information kule pori na katika hifadhi yoyote hakuna mnyama hatari na waajabu kama DUBU!!! yule ni baraaa tupu hata magem reserve wanamjua vizuri sana!
Huyu hawindwi wala kuliwa na mnyama yeyote hapa Duniani. Dubu hata ungeenda na riffle yako na shabaha zote ulizonazo huwezi kumpiga. Tena uwe makini sana otherwise you will end up blowing yourself.
Ukimlenga dubu kwa risasi lazima ikurudie wewe mwenyewe.
 
Mkuu, pitia vizuri ilikoipata hii elimu ya wanyama. Simba (siyo ile ya Msimbazi) anaweza kuwaua (siyo kuwawinda) Fisi, cheetah na wild dogs ila huwa hawali. Simba huwa anawaua wanyama hawa ili kupunguza upinzani tu kwa kuwa wote wana compete aina moja ya chakula (wanyama wengine). Simba hawezi kumla fisi, nevaaa!

umesahau fisi. simba anaweza kuua fisi lakini sio kula.
 
tunajua simba ni mfalme wa nyika lakini inasemekana hana ujanja kwa wanyama wafuatao yaani hana ubavu wa kupambana nao akiwa peke yake yaan fight ya one to one, wanyama hao ni TEMBO,KIFARU,KIBOKO,CHUI NA NYATI. ila kama anayefahamu zaidi kuhusu hii issue karibu atujuze hapa
Umemsahau mnyama mmoja, "LIBOLO".
 
Mkuu ninachoandika nakijua duma na chui ni wanyama tofauti kabisa, duma ni predator dhaifu ukilinganisha kati yake na chui na simba, kwaulicho kisema katafute tafiti za TAWIRI kuhusu wanyama pori wenye conflict kubwa na binadamu mmoja wao chui anaongoza sana kwa kuua hasa mbwa na mbuzi na kondoo, kwa kesi yako kua mbwa alimuu chui sikatai nataka unijuze mazingira yake je mlimtega chui? Je chui alikua mwenye hali gani mgonjwa au mzee? Chui katika ubora wake mbwa hawezi pata nafasi ya kuishi mkuu, katika bandiki langu hapo juu nimeeleza kwa kiasi maisha ya chui , chui anaishi solitary hivyi nafasi ya simba mmoja akutane na chui 20 haipo, lkn kama umewakusanya chui 20 na simna mmoja wapigane simba hatoweza tena dk 1 hamalizi,ni sawa na tyson apogane na akina cheka 20 kwa wakati mmoja....Note muhimu ujue kwanini wanyama pori wanakuja vamia/winda kwenye makazi ya watu, itakusadia kupata mwanga kwanini mbwa wako aliweza muua chui.
Kuhusu suala la chui kuhama pakiwa na pride ya simba ni kweli, kwakua chui mmoja hawezi pambana na simba hata mmoja sasa pride ya simba inamaa ni simba zaidi ya mmoja ndio kabisa since chui ni solitary and territorial

Naomba ni ni declare interest mm ni wildlife expert. 15 year experience..kama una swali unaweza niuliza na ntakujibu kadiri ya nijuavyo

Mbele ya shaba! huyo sio dubu bali dubwana.
 
Wote mnaobishana hapa hamuwajui vizuri wanyama; Sasa for your information kule pori na katika hifadhi yoyote hakuna mnyama hatari na waajabu kama DUBU!!! yule ni baraaa tupu hata magem reserve wanamjua vizuri sana!
Huyu hawindwi wala kuliwa na mnyama yeyote hapa Duniani. Dubu hata ungeenda na riffle yako na shabaha zote ulizonazo huwezi kumpiga. Tena uwe makini sana otherwise you will end up blowing yourself.
Ukimlenga dubu kwa risasi lazima ikurudie wewe mwenyewe.

uchawi
 
tunajua simba ni mfalme wa nyika lakini inasemekana hana ujanja kwa wanyama wafuatao yaani hana ubavu wa kupambana nao akiwa peke yake yaan fight ya one to one, wanyama hao ni TEMBO,KIFARU,KIBOKO,CHUI NA NYATI. ila kama anayefahamu zaidi kuhusu hii issue karibu atujuze hapa

si kweli bali hao wanyama wote anawaweza na ndiyo maana akaitwa mfalme wa nyika isipokuwa tu sterling auwawi ila cha moto anakiona.
 
Si sahihi,simba 1 anauwezo wakuwamudu mbwa mwitu hata 5
thubutu kwa mbwa mwitu simba yuko tayari kuja kulala kwenye miguu ya binadamu na asikudhuru tena huwa anatikisa mkia kama wa paka au mbwa kuomba msaada kishikaji kabisa. mbwa mwitu hawakai mmoja mmoja lazima wawe kundi. hivi kumkimbiza simba ni kazi rahisi.
 
tunajua simba ni mfalme wa nyika lakini inasemekana hana ujanja kwa wanyama wafuatao yaani hana ubavu wa kupambana nao akiwa peke yake yaan fight ya one to one, wanyama hao ni TEMBO,KIFARU,KIBOKO,CHUI NA NYATI. ila kama anayefahamu zaidi kuhusu hii issue karibu atujuze hapa
simba wanyama hawa hawezi kuwala.
1 tembo
2 binadamu
3 faru
4 sungura
5 nyoka
6 kuna mnyama fulani hivi huwa anaishi kwenye mashimo wasukuma wanamwita NAGA.
7 kiboko
 
Kadanganyaje wakati kasema " inasemekana"
na " mwenye ujuzi zaidi atujuze"
Unapenda sana sifa na kuzodoa,akili ya kitoto.

Changia Mada, Nawe Pia Unapenda Sifa Na Kuzodoa, Akili Za Kikongwe Ajuza.
 
....

....Nyegere

honey-badger.jpg
 
tunajua simba ni mfalme wa nyika lakini inasemekana hana ujanja kwa wanyama wafuatao yaani hana ubavu wa kupambana nao akiwa peke yake yaan fight ya one to one, wanyama hao ni TEMBO,KIFARU,KIBOKO,CHUI NA NYATI. ila kama anayefahamu zaidi kuhusu hii issue karibu atujuze hapa
Khaa!! Ningeshangaa kama Yanga nae ningemkuta kwenye list
 
tunajua simba ni mfalme wa nyika lakini inasemekana hana ujanja kwa wanyama wafuatao yaani hana ubavu wa kupambana nao akiwa peke yake yaan fight ya one to one, wanyama hao ni TEMBO,KIFARU,KIBOKO,CHUI NA NYATI. ila kama anayefahamu zaidi kuhusu hii issue karibu atujuze hapa

HAta binadamu ukimkazia macho simba akiwa m1 hakuwezi! Ana hata vibaya mno,atatikisatikisa tu mkia,atajigeuzageuza atasepa,ukiweza mkimbize! ILA MPE KISOGO TU UONE!
 
....

....Nyegere

honey-badger.jpg

Huyu mnya ni hatari sana, chakula chake kikuu ni asali, akirina asali halafu ww uibe atakufuata popote unakoenda...huwa ananusa. Akikukuta anakung'oa pumbu anaondoka nazo😀...
 
Umechanganya madesa, bora ungemtaja mbwa mwitu lakin sio eti chui na nyati.

Nimeshuhudia filamu nyingi tu simba akimla CHUI na NYATI, so tafuta njia nyingine ya kuniconvis!
 
Huyu mnya ni hatari sana, chakula chake kikuu ni asali, akirina asali halafu ww uibe atakufuata popote unakoenda...huwa ananusa. Akikukuta anakung'oa pumbu anaondoka nazo😀...

Hahahaa, Umesahau Chakula Chake Kingine Ni Nyoka. Anaitwa Honey Badger!
 
Back
Top Bottom