kazikwanza1981
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,577
- 729
Nimependa sana uchambuzi wako mkuu.Hiyo simba 10 inaweza ngumu ila head to head, wild dog vs lion, lion lazima afe. Sababu
1. Mbwa mwitu wanamla simba ila simba hamli mbwa mwitu, unapata logic?
2.Katika uwindaji, mbwi mwitu hana papara na yupo more accurate mara 4 ya simba. Watalaam wanasema mbwa mwitu hufanikiwa target tatu katinya nne
Yanga ipi mkuu? Hawa Yeboyebo aka kandambili za toiletUmesahau kiboko yao ni YANGA na TP Mazembe
mkuu nungunungu analiwa kama kuku
Hiyo simba 10 inaweza ngumu ila head to head, wild dog vs lion, lion lazima afe. Sababu
1. Mbwa mwitu wanamla simba ila simba hamli mbwa mwitu, unapata logic?
2.Katika uwindaji, mbwi mwitu hana papara na yupo more accurate mara 4 ya simba. Watalaam wanasema mbwa mwitu hufanikiwa target tatu katinya nne
mtoa mada nahisi kajiandikia kwa kuangalia ukubwa wa wanyama,nyati kila siku analiwa ,labda huna muda wa kuangalia wanyama.
binadamu nasikia machi kwa macho simba anarudi nyuma.
Mtoa Mada Amedanganya umma, buffalo/nyati ni the most dengerous animal in Africa, Simba ni sisimizi kwake. Pia Chui si tishio kwa simba, yupo group moja na simba (group of cat) na simba ndiye the big cat in Africa (ukimwondoa tiger ambaye hapatkani Africa), chui hata wakiwa 20 na simba mmoja, atawauwa wote ingawa ki uhalisia huwa hawakutani katka mawindo kwan chui hutumia muda wa usiku katka mawindo na simba hupendelea kuwinda mchana.
Kabla Hujachangia Uzi Huu inabidi uwe vizur kwenye tabia za wanyama, wengi mnadanganya ingawa watanzania ndio wenye uwanja mpana wa kujua wildlife kwan ndo nchi ya pili yenye vivutio vingi vya kitalii duniani ikitanguliwa na brazil, ikiwemo hifadhi ya SERENGETI Ambayo wazungu wanaita "urithi wa dunia" mtoa mada si mzalendo kwa kutojua haya. Sifa za wanyama ulizozitoa katka thread yako zinaonesha ni jinsi gani elimu ya viumbe hai na maliasili ya nchi yalivyokupita mbali. Hufai kuishi Tanzania.
Wewe pia muongo umeongea kwa hisia.
Kwanza simba mmoja hawezi shindana na chui 20, haiwezi tokea kwakua chui wanaishi mmoja mmoja ukiona wapo wawili au zaid ni mama na watoto, au dume na jike kwa dhumuni la kupandana tu, na kama itatokea simaba hatoweza simama hata ndani ya dakika moja, ulivyoambiwa most dangerous animal in Africa haina maana aliwi au auliwi na simba, kwa taarifa yako buffalo ndio chagua no1 la pride za simba
Hahahaaa.. mimi naangalia animal planet na net geo wild kila siku. Hakuna kinachomshinda simba. ila kuna tofauti ya mfano simba wa selou na ngorongoro jinsi wanavowinda. Simba wakiwa kundi wanawinda kila mnyama.
Sijaelewa point yako kiongozi...kwa bahati wildlife ndio kazi inayonipa mkate wa siku kwa siku. Mm nimekukatalia kua simba mmoja anaweza pambana na chui 20 hiyo haipo popote hawezi hata kidogo. Hiyo ni sawa na cheka kupambana na akia kaseba kama sijakosea jina 20 kwa wakati mmoja
Chui 20 utawapata wapi kama kundi? Nasema kundi la simba watawinda yeyote. Sifanyi huko kwako mkuu. Ila ninaona "dokumentari" za wanyama sana
Hapo kwenye nyati..... Nina mashaka...
Ok Rejea coment yangu ya awali nimeipest...
Wewe pia muongo umeongea kwa hisia.
Kwanza simba mmoja hawezi shindana na chui 20, haiwezi tokea kwakua chui wanaishi mmoja mmoja ukiona wapo wawili au zaid ni mama na watoto, au dume na jike kwa dhumuni la kupandana tu, na kama itatokea simaba hatoweza simama hata ndani ya dakika moja, ulivyoambiwa most dangerous animal in Africa haina maana aliwi au auliwi na simba, kwa taarifa yako buffalo ndio chagua no1 la pride za simba
Mbona tuko sawa tu. Alieongea kwa hisia sio mm.
Hta mi nina Mashaka maana nawaonaga kila siku hao nyati wakikimbizwa na simba na kisha kuliwa yaani hata ubavu wa kupambana na simba hawana,hii huwa inaoneshwa sn kene animal documentaries
Oka basi nafikiri nimechanganya pole kiongozi