Je, wajua? - Special Thread


mhh, come again
 

aaah mkuu hyo risasi inakurudiaje ss??!
 
Yoote hayo,sijui kama wenzangu mlidanganywa kama mie au ni utafiti wa enzi za utoto.

Kwamba kiboko ya Tembo ni sisimizi,yaani at age of 5 - 12 miaka hiyo ndio ilikuwa story zetu.
Kwamba sisimizi akiingia sikioni basi Tembo anajipigiza hadi anakufa.
Aiseeee,sasa kwa maana hiyo Kigoko ya Simba na watemi wenzie ni Sisimizi.
 
Salaam Wana JF!

Gwiji la phizikia, Albert Einstein alifariki mwaka 1955 ktk hospitali ya Princeton Marekani akiwa na umri wa miaka 76.

Je wajua yaliyotokea kuhusu ubongo wake baada ya kifo chake?

Nimeitoa ktk mtandao hii habari.

Endelea:
Einstein's Brain
 
Ebwana nlisikia walienda kufanya uchunguzi kuhusu uwezo aliokuwa nao. Ila sijafuatilia mkuu
 
Je wajua uzi huu wa Kiongozi mandella umeshafikisha mwaka tayari na bado unaendelea kutembea
 
Last edited by a moderator:
Je wajua! Ukimpiga risasi Kakakuona ina tereza (richochet) naona tuwakamate tutengenezee bullet proof
 
Je wajua lugha ya Kiswahili ndio lugha ya pili kwa kuwa na watumiaji wengi barani Afrika ikizidiwa na lugha ya kiarabu!
 
Je wajua kuwa kasuku ndiye kiumbe pekee anayeweza kuona nyuma bila kugeuza shingo yake
 
Je wajua
ukipanda mbegu ya mchungwa hugeuka na kuzaa malimao kama hautaunga na tawi la mchungwa?
 
Je wajua?
Toka bonder ya KOBELO ngara Tanzania hadi bunjubura burundi ni km 225 tu ni sawa na kutoka mwanza hadi sirari mwendo wa saa tatu
 
More electrical impulses are generated in one day by a single human brain than by all the telephones in the world.
 
Je wajua, ukivaa earphone kwa saa moja tu bacteria sikioni wanaongezaka mara 7000 zaidi.....

tafakari chukua hatua.
 
Je wajua the most spoken language in africa is arabic followed by swahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…