BIGURUBE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 6,748
- 4,252
Hahahaa, Umesahau Chakula Chake Kingine Ni Nyoka. Anaitwa Honey Badger!
Namjua vizuri sanw maana kuna mahali tumewahi kumfuga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa, Umesahau Chakula Chake Kingine Ni Nyoka. Anaitwa Honey Badger!
Wote mnaobishana hapa hamuwajui vizuri wanyama; Sasa for your information kule pori na katika hifadhi yoyote hakuna mnyama hatari na waajabu kama DUBU!!! yule ni baraaa tupu hata magem reserve wanamjua vizuri sana!
Huyu hawindwi wala kuliwa na mnyama yeyote hapa Duniani. Dubu hata ungeenda na riffle yako na shabaha zote ulizonazo huwezi kumpiga. Tena uwe makini sana otherwise you will end up blowing yourself.
Ukimlenga dubu kwa risasi lazima ikurudie wewe mwenyewe.

Punguza mashauzi basi, hata wewe hujui vyote.