Code Breaker
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 1,019
- 445
Je wajua kiumbe hai mkubwa kuriko wote ni blue whale,inakadiliwa uzito wa ulimi wake pekee unazidi uzito wa tembo mkubwa.
Je wajua ccm hawana mgombea urais anayekubalika hadi sasa hivi?
Je wajua wimbo wa taifa wa Hispania hauna maneno, ni vinanda tu
Je wajua leo Barcelona bingwa mpya wa uefa huku messi akihusika na utengenezaji wa magoli ya leo ama kufunga kabisa