Je, wajua? - Special Thread

Je wajua.

Marijuana was declared illegal in US in 1930s baada ya mzungu mmoja kudai kwamba wanawake wa kizungu wakitumia marijuana wanawashobokea/kuwapenda wanaume weusi(manigga).

#SayNo2Racism .
 
Je wajua?

Ndoto hata iwe mdefu kiasi gani haiwezi kuzidi dakika moja huwa ni wastani wa 38seconds.
 
Reactions: me1
Je wajua Clouds TV ndiyo TV inayotizamwa zaidi tanzania nzima kuliko tv yoyote?
 
je wajua kuwa asilimia 90% ya chembe hai katika mwili wa mwanadamu ni bacteria? na asilimia 99% ya genes katika mwili wa mwanadamu ni za bacteria. Genetically we are 99% bacteria!
 
Je , wajua kuwa kuanzia tarehe 26-07-2015 Edward Lowasa alihama CCM na kujiunga
CHADEMA baada ya kukatwa na wazee wa "kitengo".
 
Je wajua yule muigizaji maarufu wa filamu wa kuitwa Samuel L Jackson maishani mwake mpaka ilipofikia kuondokewa na Baba yake mzazi alibahatika kuonana nae mara mbili tu
 
Je wajua waamini wa rastafari hutumia bangi kama sakramenti takatifu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…