Je, wajua? - Special Thread

je wajua ukitenganisha DNA moja kutoka mwilini mwako na kuivuta bas itakuwa na urefu wa mita 2..na ukitoa DNA za mwili wote na kuziunganisha utapata urefu zaidi ya kipenyo(diameter) cha ulimwengu mzima
 
Je, wajua kama majimbo yote ya Arusha na Manyara ccm hawatapata hata jimbo moja kwenye uchaguzi?
 
ndoroooooboooo… leo nimeota natoka bk napanda ndege kwenda Marekani na nikakutana na Rick Ross tukapanda Rolls roys mpaka kwa Mayback musik group nikatia voko ..wakati naimba nikapaza sauti mpaka mke wangu anacheka..

SIO KWELI....huwa naota huku naongea almost kwa lisaa lizima...na nina rafiki yangu ashawahi kunirekodi tulipokuwa chuo
 
Je wajua mnamo mwaka 1978 aliyekuwa raisi wa Afghanistan alitangazwa kwenye radio ya taifa kuwa amestaafu kutokana na afya yake, lakini ukweli ni kuwa aliuwawa na jeshi (military coup)
 
Je wajua, Tanzania Ni Nchi pekee ambayo vyama vya upinzani vilikua vinapinga ufisadi lakini ghafla vikanunuliwa na mafisadi?
 
Je wajua kuwa ukitaka kujua kama demu ana mtoto au aliwahi kubeba mimba basi mkaribishe kwa chai na mkate, kwa vyovyote vile atakataa na ataomba kitafunwa kingine kama kipo,kama hakipo yyuko radhi kunywa chai kavu kuliko kula mkate, fuatilia
 
Hahahahaha weird!
 
Je wajua kuwa South Afrika ni nchi pekee ambayo wimbo wake wa Taifa unaimbwa kwa lugha 4 tofauti?
 
Je wajua kuwa ukitaka kujua kama demu ana mtoto au aliwahi kubeba mimba basi mkaribishe kwa chai na mkate, kwa vyovyote vile atakataa na ataomba kitafunwa kingine kama kipo,kama hakipo yyuko radhi kunywa chai kavu kuliko kula mkate, fuatilia

hii ina ukweli ndani yake
 
Je, wajua katika historia ya maisha yako wewe ndiye mwenye kuweza kufanya hukumu kwa kiongozi mkuu wa nchi?
Jipange kwa kufanya hukumu hiyo ni 0ct.25.2015
 
Tanzania ndo nchi ya kwanza duniani kukataa #ELIMU bure
 
Attachments

  • 1446360026628.jpg
    23.4 KB · Views: 187
Je, wajua kama Tz ndo nchi ya kwanza dunia kwa wananchi wake kuchagua mlo moja badala ya milo mitatu kwa siku?
 
Je wajua asilimia kubwa ya waliounga mkono UKAWA katika uchaguzi mkuu 2015 ni WACHAGGA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…