Je wajua kuwa ukitaka kujua kama demu ana mtoto au aliwahi kubeba mimba basi mkaribishe kwa chai na mkate, kwa vyovyote vile atakataa na ataomba kitafunwa kingine kama kipo,kama hakipo yyuko radhi kunywa chai kavu kuliko kula mkate, fuatilia
je wajua obama tangu amekuwa raisi hajawahi kufika kenya na hatazamiwi tena kukanyaga kenya mpaka atoke madarakana huku aliitembelea ghana anakotoka mkewe
Je wajua kuwa South Afrika ni nchi pekee ambayo wimbo wake wa Taifa unaimbwa kwa lugha 4 tofauti?
Je wajua bendera ya Chad na Romania zinafanana
JAMBO MOJA USILOLIJUA KUHUSU JOHN POMBE MAGUFULI.
Siku aliyozaliwa ni tarehe 29/10 na Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kuwa baada ya kupiga kura kura zitahesabiwa kwa siku tatu na baada ya hapo rais ataapishwa tarehe 29/10/2015.
Hivyo Rais wetu atakuwa siku anayoapa kuwa rais Siku hiyo hiyo atakuwa akisherekea Birthday Yake. Sherehe mbili ndani ya siku moja.
Hapa urais Pale Birthday.
hizi hila hata sio bure.