Je, wajua? - Special Thread

Je, wajua? - Special Thread

Je wajua kuwa ukitaka kujua kama demu ana mtoto au aliwahi kubeba mimba basi mkaribishe kwa chai na mkate, kwa vyovyote vile atakataa na ataomba kitafunwa kingine kama kipo,kama hakipo yyuko radhi kunywa chai kavu kuliko kula mkate, fuatilia

Eh,hata kama alibeba akaitoa???
Na ni kwanini mkuu???
 
Je wajua kuwa tanzania kuna waspmi wengi wasioweza kuandika barua ya kikazi kwa lugha ya kiingereza??
 
je wajua obama tangu amekuwa raisi hajawahi kufika kenya na hatazamiwi tena kukanyaga kenya mpaka atoke madarakana huku aliitembelea ghana anakotoka mkewe

Nadhani sasa coment yako haina maana tena.
 
Je wajua binadamu hadi kufa kwa wastani anakua ametembea kuizunguka dunia mara mbili!!!!!! kama ukiunganisha umbali wote aliotembea siku za uhai wake!!
 
Je wajua Pablo Escobar ndio alikuwa muuza dawa za kulevya aliyekuwa na pesa nyingi duniani mpaka alipofariki mwaka 1993. Alikuwa anatumia USD 1000 kwa wiki kununua rubber band kwaajili ya kufungia hela zake. Pia aliteketeza zaidi ya 10% ya pesa yake iliyoliwa na panya?
 
Je wajua kuwa South Afrika ni nchi pekee ambayo wimbo wake wa Taifa unaimbwa kwa lugha 4 tofauti?

Je wajua kuwa wimbo wa taifa wa nchi ya Uganda ndio wimbo mfupi kuliko zote duniani?
 
Je wajua Wafilipino ndio wanaongoza kwa mahaba duniani wakifuatiwa na Rwanda.
 
Je wajua kua TB Joshua The Powerful Man in Nigeria hakutoka nje ya Nigeria kwa muda mrefu sana mpaka alivyokuja kumuona Ngoyai Tanzania.
 
Je wajua Dunia ina miaka billion na ushee ww bado unasubiri mwisho wake. Utatangulia ww na kuiacha hapa hapa
 
JAMBO MOJA USILOLIJUA KUHUSU JOHN POMBE MAGUFULI.

Siku aliyozaliwa ni tarehe 29/10 na Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kuwa baada ya kupiga kura kura zitahesabiwa kwa siku tatu na baada ya hapo rais ataapishwa tarehe 29/10/2015.

Hivyo Rais wetu atakuwa siku anayoapa kuwa rais Siku hiyo hiyo atakuwa akisherekea Birthday Yake. Sherehe mbili ndani ya siku moja.

Hapa urais Pale Birthday.

Aisee.. ndo siku alipewa cheti na tarehe 5 kuapishwa kisa rais wa tano..
 
Je wajua Mwanamuziki Mkongwe wa Hispania Julio Eglisias ambaye ni Baba wa Enrique Eglisias alikuwa mchezaji wa Real Madrid kwa nafasi ya goalkeeper hadi hapo alipopata ajali ya gari na kuumia miguu na hakuwa na uwezo wa kucheza tena. Hata hivyo alikuwa hana cha kufanya ndipo nesi akamtafutia gitaa la kumliwaza na jamaa ndio akawa mwanamuziki kuanzia hapo?
 
Je wajua Wilaya ya KONDOA ni wilaya yenye jina ambalo kila herufi ukitoa kuanzia kushoto jina linalobaki lina maana?
 
Je wajua, ukiamua kuandika kwa penseli mstari mmoja mpaka inaisha utakuwa umefika km 38
 
Je wajua kuwa Pweza anaongoza kwa kuwa na Akili nyingi kuliko Wanyama wote wasio na Uti wa Mgongo???.
 
Back
Top Bottom