Chinese kinazungumzwa na watu zaidi ya billion 1.5mh mkuu hebu tutake radhi basi... yaani kiingereza kinazungumzwa na watu milioni 130 tu?! nadhani kwa Afrika pekee idadi ya watu wanaozungumza lugha hiyo inaweza ikakaribia idadi hiyo kama sio kupita kabisa. unaijua lugha inaitwa mandarin? hebu ifuatilie hiyo lugha halafu uje ufute huu uzi.
Je wajua mpiganaji masumbwi wa enzi hizo wa kuitwa Sugar Ray aliota kuwa iwapo atambana na mpinzani wake Jimmy Doyle, atamuua ulingoni kitu ambacho Sugar Ray kilimuogopesha mno na kuamua kusitisha kupambana na mpinzani wake Jimmy Doyle.
Jambo ambalo watu wa karibu wa Sugar Ray ikiwemo mchungaji wake, walimshauri Sugar Ray aendelee na pambano ile ni ndoto tu, na si kuwa itatokea kile alichokiota, Sugar Ray baadae aliupokea ushauri na kukubali kuendelea na pambano siku ya tarehe iliopangwa.
Basi huwezi amini siku ya siku(siku ya pambano illipofika) Sugar Ray ilipofika raundi ya sita alipeleka ngumi nzito iliopelekea mpinzani wake Jimmy Doyle kwenda chini(kuanguka) bila kunyanyuka, pamoja na juhudi zote za ziada zilizofanyika kumuwahisha Mwanamasumbwi Jimmy Doyle kuwahishwa Hospitalini hazikusaidia na kusababisha Mwanamasumbwi huyo kupoteza maisha akiwa Hospitalini
Je wajua nyuki idadi ya macho yake jumla ni matano ukiondoa mawili makubwa, anayo mengine matatu ya ziada juu ya paji la uso wakehii sikuwahi kuijua mkuu
ila ungetujuza na sababu ya ww kujiita harufu
HARUFU ka hivyo watu wenue kansa ya inni si wangekata hiyo sehemu inayoathiriwa waondoe kabisa.Je wajua Ini la Mwanadamu unaweza ukalikata nusu ukaondoka na kipande na ile nusu nyingine iliobaki tumboni mwa Mwanadamu baada ya muda (siku kadhaa) inajirudisha na kuwa Ini kamili kama ilivyokuwa mwanzoni kabla ya kuondolewa
Naam, kuna wanaofanyiwa hivyo na wanapona na kuna watu ambao ni wazima wa afya na wapo tayari kuchangia sehemu ya Ini lao kama wafanyavyo watu wanaochangia Damu ili kuwasaidia wale wenye hitaji la kimatibabu.HARUFU ka hivyo watu wenue kansa ya inni si wangekata hiyo sehemu inayoathiriwa waondoe kabisa.
Je wajua kuwa K ndio kitu pekee kinachonuka lakini ndo kitamu balaa?
Siyo kweliiiiiiii!! tiGO ndiyo inanuka na ni ndio tamu kuliko kitu chochote...........