Je, wajua? - Special Thread

Je, wajua? - Special Thread

mh mkuu hebu tutake radhi basi... yaani kiingereza kinazungumzwa na watu milioni 130 tu?! nadhani kwa Afrika pekee idadi ya watu wanaozungumza lugha hiyo inaweza ikakaribia idadi hiyo kama sio kupita kabisa. unaijua lugha inaitwa mandarin? hebu ifuatilie hiyo lugha halafu uje ufute huu uzi.
Chinese kinazungumzwa na watu zaidi ya billion 1.5
 
Je wajua siwezi gawa kadi za mwaliko kwakuwa tu wewe ni JF member kwa kuhofia kujulikana kirahisi?
 
Je wajua mpiganaji masumbwi wa enzi hizo wa kuitwa Sugar Ray aliota kuwa iwapo atambana na mpinzani wake Jimmy Doyle, atamuua ulingoni kitu ambacho Sugar Ray kilimuogopesha mno na kuamua kusitisha kupambana na mpinzani wake Jimmy Doyle.

Jambo ambalo watu wa karibu wa Sugar Ray ikiwemo mchungaji wake, walimshauri Sugar Ray aendelee na pambano ile ni ndoto tu, na si kuwa itatokea kile alichokiota, Sugar Ray baadae aliupokea ushauri na kukubali kuendelea na pambano siku ya tarehe iliopangwa.

Basi huwezi amini siku ya siku(siku ya pambano illipofika) Sugar Ray ilipofika raundi ya sita alipeleka ngumi nzito iliopelekea mpinzani wake Jimmy Doyle kwenda chini(kuanguka) bila kunyanyuka, pamoja na juhudi zote za ziada zilizofanyika kumuwahisha Mwanamasumbwi Jimmy Doyle kuwahishwa Hospitalini hazikusaidia na kusababisha Mwanamasumbwi huyo kupoteza maisha akiwa Hospitalini

hii sikuwahi kuijua mkuu

ila ungetujuza na sababu ya ww kujiita harufu
 
hii sikuwahi kuijua mkuu

ila ungetujuza na sababu ya ww kujiita harufu
Je wajua nyuki idadi ya macho yake jumla ni matano ukiondoa mawili makubwa, anayo mengine matatu ya ziada juu ya paji la uso wake
 
Je wajua Ini la Mwanadamu unaweza ukalikata nusu ukaondoka na kipande na ile nusu nyingine iliobaki tumboni mwa Mwanadamu baada ya muda (siku kadhaa) inajirudisha na kuwa Ini kamili kama ilivyokuwa mwanzoni kabla ya kuondolewa
 
Je wajua Ini la Mwanadamu unaweza ukalikata nusu ukaondoka na kipande na ile nusu nyingine iliobaki tumboni mwa Mwanadamu baada ya muda (siku kadhaa) inajirudisha na kuwa Ini kamili kama ilivyokuwa mwanzoni kabla ya kuondolewa
HARUFU ka hivyo watu wenue kansa ya inni si wangekata hiyo sehemu inayoathiriwa waondoe kabisa.
 
Last edited by a moderator:
HARUFU ka hivyo watu wenue kansa ya inni si wangekata hiyo sehemu inayoathiriwa waondoe kabisa.
Naam, kuna wanaofanyiwa hivyo na wanapona na kuna watu ambao ni wazima wa afya na wapo tayari kuchangia sehemu ya Ini lao kama wafanyavyo watu wanaochangia Damu ili kuwasaidia wale wenye hitaji la kimatibabu.

Na yule ambae amechangia sehemu yake ya Ini baada ya kama mwezi mmoja na siku kadhaa sehemu aliondolewa/ilioondolewa kuchangia inarudi tena kama ilipokuwa/ilivyokuwa awali.

Ukiona mtu anakufa kwa kansa ya Ini basi ujue ilishapitiliza sana au kwa lugha nyingine naweza sema mgonjwa alichelewshwa hakupelekwa kwa wakati/muda muafaka.

Kama mgonjwa anawahishwa maisha yanaokolewa
 
Je wajua kuwa K ndio kitu pekee kinachonuka lakini ndo kitamu balaa?
 
Je wajua Israeli ndio taifa dogo lililopigana vita ya siku 6 na kuwashinda maadui zake zaidi ya wanne mwaka 1967?
 
Je wajua?Tanzania ndo nchi pekee ambayo wanafunzi wanafaulu mitihani miwili ya taifa (darasa la nne na saba) pasipo kujua kusoma,kuandika wala kuhesabu ilhali mitihani hiyo ikihusisha kusoma,kuandika na kuhesabu.
 
Je wajua?Kifaa kiitwacho black box kwenye ndege wala siyo cheusi.
 
Je wajua?Chura hawezi kumeza chakula mpaka afumbe macho.
 
Back
Top Bottom