kwahiyo we unaonaje? tuwaachie waendelee kupiga pesa au tukamchukue na sisi tufaidi ch kwetu?Acheni unafiki, mjerumani asingemchukua na kwenda kumhifadhi kwake unadhani yangekuwepo hayo mabaki hadi leo hii?
Madini,gesi,mbuga na hifadhi za wanyama,maziwa,bahari,ardhi yenye rutuba,n.k ... vyote hivi havijakunufaisha, ila hii skeleton ya huyu dinasour ndo itaweza kukunufaisha?kwahiyo we unaonaje? tuwaachie waendelee kupiga pesa au tukamchukue na sisi tufaidi ch kwetu?
yaani ni sawa na wewe ukamchukue mtoto wa masikini then umsomeshe awe maybe rais halafu hutaki wazazi wake nao wanufaike.....
fikiria nje ya box hakuna unafiki hapo...
tunashukuru kwa kumtunza ila arudi ili na sisi tufaidi asee
wamepiga pesa ya kutosha mkuu ndio maana hawataki tumchukue maana bado wanaendelea kupiga pesaWATU washa piga HELA hapo KURUDI itakuwa kama KISA cha MPEMBA .
usikate tamaa kirahisi namna hiyo mkuu.Madini,gesi,mbuga na hifadhi za wanyama,maziwa,bahari,ardhi yenye rutuba,n.k ... vyote hivi havijakunufaisha, ila hii skeleton ya huyu dinasour ndo itaweza kukunufaisha?
oky.. basi tatizo hapa ni ccm.... Kuwa Tanganyika wakati inapata uhuru ilikuwa ni nchi ya kwanza katika Afrika yenye kusafirisha kwa wingi (export) mazao ya shamba. Miaka saba tu baada ya uhuru, baada tu ya tangazwa azimio la Arusha, tukawa omba omba namba moja wa chakula duniani.
DINOSARIA WA TANZANIA; MNYAMA MKUBWA WA NCHI KAVU
Miezi ya karibuni kumekuwa na harakati mbalimbali za watu kudai kurejeshwa kwa mabaki ya ‘mjusi’ toka nchini Ujerumani. Ukweli ni kwamba Dinosaria aliishi au waliishi katika eneo la Afrika Mashariki miaka milioni 154 hadi 142 iliyopita.
Ila ugunduzi wa mabaki yake yalipatikana mwaka 1912 katika kijiji cha Tandeguru, kata ya Mipingo katika mkoa wa Lindi, Baada ya ugunduzi huo ‘Mabaki’ ya Dinosaria wetu ‘yalitoroshwa’ na kwenda kuhifadhiwa huko katika makumbusho kubwa ya Humbolt huko Ujerumani.
Dinosaria ni mnyama mkubwa aliyeishi kipindi kinachofahamika kihistoria kama Nyakati za Jurasiki ‘Jurassic period’, anatokea katika genus ya Giraffatitan. Alikuwa na uzito wa tani 89( Kama malori manne ya mchanga). Alikula majani ya juu ya miti mirefu kwani alikuwa ana urefu wa mita 20.
Miguu yake ya mbele ni mirefu zaidi ya nyuma, pia shingo yake ilikuwa na urefu wa kutosha. Mnyama huyo ni uthibitisho mwingine kuwa ‘Africa is Cradle of All Civilisations’. Hii ni kwa kuwa fuvu la mtu wa kale zaidi liligunguliwa huko Olduvai Gorge, Arusha baadaye zana za kale za mawe ziligunduliwa huko isimila katika kijiji cha Ugwachanya mkoani Iringa.
Kwa sasa Makumbusho ya Humbolt ni maarufu sana Ulaya kwa sababu ya uwepo wa Dinosaria wetu. Tuna kila sababu ya kudai kwa nguvu zote ili masalia hayo yarejeshwe hapa kwa kumbukumbu ya vizazi vijavyo na kuwa kivutio kingine cha utalii hapa Tanzania. Hiyo tu haitoshi ila tunapaswa kujiandaa kwa kuwa na wataalamu na vifaa vya kuhifadhi masalia hayo.
Mwishoni tujiulize hivi ni watanzania wangapi huamasika kufika katika makumbusho za nchi hii?
Wenu katika Historia.
Francis Daudi
Bangalore University, India...
Ha,ha,haaaaa.....nlikua sijui aseee...asa hii tafsiri yke ni nn??Je wajua asilimia kubwa ya Watanzania ni watoto
oky.. basi tatizo hapa ni ccm.
Embu tufanye kuipiga chini tuwape hawa wapinzani alafu tuone na wao watatupeleka wapi
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
Oky mama.. nasubiri mfungo uishe ili nianze kukupa challengeCCM ilikuwa wala haijulikani kama itakuwepo wakati huo.
Je wajua mwanamke ana uwezo mkubwa wa kuvumilia shida kuliko mwanaumeHabari zenu wadau.
Wote tunaamini kua kuna mambo mengi sana ya kisiasa, elimu, sayansi, geografia, na maarifa mengine mengi tu ambapo kwa namna moja au nyingine mtu unakua hujapata fursa ya kuyashuhudia au kuyasikia kwa muda muafaka. Hii inaweza kua kipindi kilichopita au hata kwa wakati huu ulipo.
Basi kupitia Thread hii ni vyema wadau tukafahamishana haya kwa lengo moja la kuelimishana.
Hivyo niwakaribishe wote wenye nia njema kuwekea wayajuayo, kwani ukijuacho wewe naweza nisikijue na akijuacho mwenzanko unaweza usikijue.
Karibuni.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124] [emoji124]JE WAJUA KUWA KITIMOTO TAMU KULIKO NYAMA YEYOTE
mkuu kwani vicheche wa Dar hufanya marangapi kwa siku?hao ni vicheche wa mikoani sio wa dar